tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7565377188978290213..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mkutano wa International Gospel ChurchChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-44248240161163423272008-05-27T11:37:00.000-04:002008-05-27T11:37:00.000-04:00Waafrika hamna akili. Haya mambo ya yesu na muhama...Waafrika hamna akili. Haya mambo ya yesu na muhamadi kama mpaka leo mnayaamini tuu! basi kazi ipoAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-91587352442233003392008-05-27T10:27:00.000-04:002008-05-27T10:27:00.000-04:00Siwapendi wazungu hasa ubaguzi wao.hata huko makan...Siwapendi wazungu hasa ubaguzi wao.hata huko makanisani wana ubaguzi tu wanachotaka ni sadaka yetu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-65469459438587873072008-05-27T10:23:00.000-04:002008-05-27T10:23:00.000-04:00Wazungu huwa hawaamini watu weusi kama wanaweza ku...Wazungu huwa hawaamini watu weusi kama wanaweza kufanya jambo mbele yao.Sijui ikijatokea Obama akaiongoza US itakuwaje.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-48864339672517193752008-05-26T17:44:00.000-04:002008-05-26T17:44:00.000-04:00Sababu mojawapo ya makanisa mengi ya wachungaji we...Sababu mojawapo ya makanisa mengi ya wachungaji weusi kuwa na idadi kubwa ya weusi ni kwa sababu sisi weusi wenyewe tunapenda sana kusali makanisa ambayo mchungaji ni mweusi mwenzetu, pia katika ibada weusi wengi huwa na aina moja ya kusifu na kuabudu ambayo huwafanya kujisikia raha zaidi kuliko akiwa na wazungu, katika kusali kuna kuimba na wakati mwingine kuna makanisa hata wanacheza, hivyo kutokana na hili weusi kujiona huru zaidi wanapokuwa pamoja nakuimba nyimbo zenye asili zao pia na wazungu nao hujiona huru zaidi wakiwa na wazungu wenzao.
Nahisi kuna sababu zingine,Lazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-71291920676000648012008-05-26T00:45:00.000-04:002008-05-26T00:45:00.000-04:00Naomba kusaidiwa hivi ni kwa nini makanisa yanayoo...Naomba kusaidiwa hivi ni kwa nini makanisa yanayoongozwa na waafrika hayana waumini wazungu wengi? Unakuta yamejaa weusi tu hata yawe Ulaya,Marekani,Asia,au Afrika utakuta akiwa mchungaji mwafrika wazungu hawasali wanajaa waafrika tu.Mzungu akija ujue kaalikwa kuhubiri.Kwa nini?

Mfano Kenya na Tanzania maeneo kama Nairobi na Dar es salaam kuna wazungu wengi tu lakini huwaoni wakisali makanisa ambayo watu weusi ni wachungaji au mapadri ni kwa nini?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-27274206656553208942008-05-25T17:19:00.000-04:002008-05-25T17:19:00.000-04:00Inaeleka akuwa uchungaji ni kazi inayolipa sanaInaeleka akuwa uchungaji ni kazi inayolipa sanaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69009314795352635392008-05-25T12:51:00.000-04:002008-05-25T12:51:00.000-04:00Bwana Asifiwe Sana! Nasikitika sikuweza kuhudhuir...Bwana Asifiwe Sana! Nasikitika sikuweza kuhudhuira.

Mdau, North CarolinaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-4692308645357041112008-05-25T07:32:00.000-04:002008-05-25T07:32:00.000-04:00Mbona kwenye ibada wazungu hawatubagui sisi weusi....Mbona kwenye ibada wazungu hawatubagui sisi weusi. Lakini kwenye masuala mengine wanasahau kuwa sisi ni wenzao katika imani. Sisi kina chemi inabidi tujiulize kwa nini hali iko hivi? Daima wazungu ni opportunistsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-57324882769024933232008-05-25T04:27:00.000-04:002008-05-25T04:27:00.000-04:00Hawa evangelist si ndio ma extremists, wanaosema w...Hawa evangelist si ndio ma extremists, wanaosema watu huku marekani.

Wanatafsiri biblia vibaya, na wana quote misemo yao from virtual bible, (not existing bible). Kama huyu pastor wao mkubwa kabisa Hagee, ambae amesema "Catholics ni malaya wakubwa", Hitler ameletwa kusaidi majews waende promise land palestine, mabalaa ya ukimwi na mengine Africa, ni vizuri kuwepo ili kusaidia kuja kwa Yesu.

Sasa hivi sasa wanaanza kuwadanganya mimi na wewe kwenye black churches.

Ndio malobbysts wakubwa wa AIPACC, wanapush ideological agenda kwenye senate, congress na kwengineko..Anonymousnoreply@blogger.com