tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7587514885835254177..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Wazungu Wananitaka Mimi - Hilary ClintonChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51448691255256306022008-05-09T15:34:00.000-04:002008-05-09T15:34:00.000-04:00Taifa lina watu milioni 300 na ushee inashangaza l...Taifa lina watu milioni 300 na ushee inashangaza linataka kukumbatia usultani/ufalme/uchifu kwa Baba-Mtoto, Mke/Mume kuwa Rais? Hakuna watu wengine wanaoweza kuongoza?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-41338205894403525932008-05-09T05:34:00.000-04:002008-05-09T05:34:00.000-04:00Kuna mtu kasema Hillary alikuwa ni "Historical" fi...Kuna mtu kasema Hillary alikuwa ni "Historical" figure. Sasa eti ni "Hysterical" figure.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-52231707506774458652008-05-08T20:14:00.000-04:002008-05-08T20:14:00.000-04:00Huyo mama hana haya! Anazidi kujiangusha!Huyo mama hana haya! Anazidi kujiangusha!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-25416678477114793332008-05-08T16:51:00.000-04:002008-05-08T16:51:00.000-04:00Yaani nimeingia kwenye hiyo blogu/web na kusoma hi...Yaani nimeingia kwenye hiyo blogu/web na kusoma hiyo article zaidi nimesoma comments ziko kama 171 hivi au 170. Nimecheka mpaka machozi yamenitoka jinsi wazungu tena wanawake wanataja na umri wao kuwa hawamtaki huyo madame!<BR/><BR/>Ukitaka kutoa stress nenda kasome comments zao humo!Anonymousnoreply@blogger.com