tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7829355650731235753..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Msanii Ernest Mtaya anaoa kwa staili aina yake!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-65853568401692782242007-11-09T12:36:00.000-05:002007-11-09T12:36:00.000-05:00kaka ernest hongera sana mon! hakika nimefurahi sa...kaka ernest hongera sana mon! hakika nimefurahi sana leo hii kuona habari zako ktk mitandao ya watanzania
ee bwana nimekukumbuka sana wakati ule mimi ,wewe ,ndunguru,walter lema ,robert mwampembwa,ntilo,dada poni,na wengine wengi wakati wetu wa shughuli za uchoraji pale dsm
mungu awabariki sana kwenye ufungaji wa piongu za maisha
just so you know my love for burning spear,mutabaruka is still the same agwan lisen fe dem mon!
tafadhali tuwasiliane .
hivi sasa naendelea na uchoraji lakini ni ktk mambo ya kuchora kwa mwanga yaani mambo ya film making na cartoon animations
nayakumbuka sana yale mashindano ya uchoraji pale don boscomiaka ya 89 hivi wakati ule mimi nasoma forodhani sec,vipi ile taasisi yako ya uchoraji kwa watoto inaendeleaje? you can contact me through mhandom@yahoo.com
Gibbons Mlowe
RACEZNOBAR
edmonton,canadaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66694641178658415552007-11-08T22:51:00.000-05:002007-11-08T22:51:00.000-05:00Hongera Ernest na Juddy!Hongera Ernest na Juddy!Anonymousnoreply@blogger.com