tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post7902443686296899098..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Happy Thanksgiving!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger2125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-89075530865523476062010-11-30T20:35:31.161-05:002010-11-30T20:35:31.161-05:00Da' Chemi, ulivyosema ni kweli kiasi fulani la...Da' Chemi, ulivyosema ni kweli kiasi fulani lakini hii sikukuu imepoteza maana yake kwani kwa wazawa (wahindi wekundu) ni siku ya kukumbuka madhila ya mwanzo wa ukoloni ambao umesababisha tamaduni zao kupotea, ardhi yao kuporwa na hao "wakuja" na hata wengi wao kuuawa. Sasa wenye nchi wamekuwa kama wakimbizi kwenye nchi yao na wengi wao hawasherehekei hii sikukuu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66070116771953124652010-11-26T03:33:46.576-05:002010-11-26T03:33:46.576-05:00Nashukuru Dada kwa elimu hii nzuri.Sikujua kumbe n...Nashukuru Dada kwa elimu hii nzuri.Sikujua kumbe ni siku muhimu sana.Mdau kutoka Morogoro.Anonymousnoreply@blogger.com