tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8045288553474547511..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Sura ya Obama Ichongwe Mt. Rushmore!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-3893817472834767212008-11-08T19:50:00.000-05:002008-11-08T19:50:00.000-05:00Kuchonga pale ni kazi ngumu sana; michongo hiyo il...Kuchonga pale ni kazi ngumu sana; michongo hiyo iliyoko pale ilichukua miaka kumi na nne. Na kwa sasa hivi hakuna mwamba mwingine wa karibu unaoweza kuchukua sura ya rais, itabidi wabomoe mwamba mpya upande wa kusin pembeni mwa George Washington na iliyo itakuwa ni mradi wa bajeti ya serikali ya Tanzania kwa miaka minne. Je unafahamu kuwa uchongaji wa sura ya Crazy Horse kuwaridhisha wahindi wekundu kutokana kunyanganywa ule mlima rushmore ambao ulikuwa na mizimu yao umechukua karibu miaka 20 sasa na bado hijulikana utakamilika lini?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-23805037861305584742008-11-08T10:39:00.001-05:002008-11-08T10:39:00.001-05:00Ninavyomuona Obama atakuwa mchemshaji sana. Akipat...Ninavyomuona Obama atakuwa mchemshaji sana. Akipata term ya pili ni bahati!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-69327875616252360292008-11-08T10:39:00.000-05:002008-11-08T10:39:00.000-05:00Mimi naona anastahili nafasi. Si raisi mweusi wa k...Mimi naona anastahili nafasi. Si raisi mweusi wa kwanza!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-52324624816974095962008-11-08T10:37:00.000-05:002008-11-08T10:37:00.000-05:00hata hajafanya chochote jamani, au kwa sababu ni n...hata hajafanya chochote jamani, au kwa sababu ni nusu mweusi?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-71035715091071865152008-11-08T08:12:00.000-05:002008-11-08T08:12:00.000-05:00Pamoja na kuwa shabiki wa Obama lakini ni bado map...Pamoja na kuwa shabiki wa Obama lakini ni bado mapema sana kwake kuwa mmoja wa marais mashuhuri Marekani.Dada Chemi inabidi athibitishe katika mandate period na ikiisha ndio tuzungumzie hilo.Hao waliopo kwenye Mt Rushmore waliwekwa pale baada ya kumaliza uatwala wao.Anonymousnoreply@blogger.com