tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post805860497223905151..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mambo MsikitiniChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-54097678972744563862012-01-17T05:33:36.830-05:002012-01-17T05:33:36.830-05:00Injili itahubiriwa kwa kila Taifa aliye Myunani na...Injili itahubiriwa kwa kila Taifa aliye Myunani na aliye Samaria, aliye Muisrael na aliye mmataifa maana Kristo alikuja kwa wote wenye mwili ili waokolewe. Yesu alikuja kwa ajili ya ulimwengu wote hata wanaomkataa ndani kabisa ya nafsi zao wanajua yeye ndo mwanzo na mwisho wa kila kitu.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-60719245442034928702012-01-15T09:02:08.335-05:002012-01-15T09:02:08.335-05:00Kweli waisilamu kiboko. Eti wanashangaa kusikia Ge...Kweli waisilamu kiboko. Eti wanashangaa kusikia George ni Jina la Kikristo.

Majina ya ulaya kwa ujumla wake ni majina ya kikristo. Majina ya uarabuni kwa ujumla wake ni ya kiislamu. Ndiyo maana sisi wakristo huwa hatutaji watoto wetu majina kama Issa, Yahaya, Hadija, Salma N.KAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20212867033877905832012-01-14T12:46:34.777-05:002012-01-14T12:46:34.777-05:00Duh! kumbe George ni jina la kikristo?
miye homaDuh! kumbe George ni jina la kikristo?

miye homaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61370795525193923762012-01-14T06:46:32.688-05:002012-01-14T06:46:32.688-05:00Tunacheka lakini maisha ya jamaa yalikuwa hatarini...Tunacheka lakini maisha ya jamaa yalikuwa hatarini!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-33101756287404392332012-01-12T22:24:39.185-05:002012-01-12T22:24:39.185-05:00Tatizo la waislamu ni kwamba uzalendo huwa unawash...Tatizo la waislamu ni kwamba uzalendo huwa unawashinda likitokea jambo lolote ambalo wanalipenda wao. Kuna waislamu wengi siku hizi wanapenda kwaya za kanisani sana. Sasa huyu muislamu alikuwa ni wale ambao wanapenda kwaya. Muisilamu akipenda jina la kikristo atatafuta sababu za uongo na kweli na kujipachika jina la kikristo. Kama siku hizi wana jiita "George" "serafina" huku wakujua serafina linatokana na malaika maserufi (Seraphs).

Eti wanasema majina hayana dini. Sasa na kwaya wanazipenda. Muda mrefu wataanza kupiga magitaa katika swala.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-44182813326434002202012-01-12T17:47:01.325-05:002012-01-12T17:47:01.325-05:00"DINI YA WENZETU KAAZI KWELIKWELI"
WENZ..."DINI YA WENZETU KAAZI KWELIKWELI"

WENZENU AKINA NANI? SISI WAISLAMU SIYO WENZENU. NYINYI MUNGU AMEZAA/AMEJIFUNGUA MTOTO AMBAYE NAYE PIA NI MUNGU.
SISI MUNGU WETU HAKUZAA NA WALA HAKUZALIWA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9458440270418628692012-01-10T18:13:25.307-05:002012-01-10T18:13:25.307-05:00lAKINI KWANI MLIO WA SIMU NA IMANI YA MTU UHUSIANO...lAKINI KWANI MLIO WA SIMU NA IMANI YA MTU UHUSIANO WAKE HUKO WAPI? HAPO ZAMANI HATUKUWA NA CHOICE NYIINGI ZA MILIO NA KULIKUWA NA MLIO MMOJA TU WA SIMU HAMABO NI COMMON AMBAO NIMANI KILAMMMOJA WETU ANANUJUA,SASA IKIWA KUNA CHOICE KWANINI MTU ASICHAGUE MLIO UNAOMPENDEZA YEYE?iLA KAMA MCHANGIAJI MMOJA ALIVYOSEMA DINI YA WENZETU NI KAAZI KWELIKWELI. lABDA TATIZO NINAPOLIONA NI KUACHA SIMU WAZI MSIKITINI,AU KUACHA IKIWA NA MLIO MKUBWA KWANI ANGEWEZA KUWEKA VIBRATION BILA MLIO ISINGEKUWA NOMA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-35887987762552682532012-01-10T12:17:17.610-05:002012-01-10T12:17:17.610-05:00Hii kali! Huyo jamaa lazima kafukuzwa na hataruhus...Hii kali! Huyo jamaa lazima kafukuzwa na hataruhusiwa kuswali katika mskiti huo tena.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21213566756196026892012-01-09T10:10:11.291-05:002012-01-09T10:10:11.291-05:00Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyu jamaa angewe...Kinachonishangaza mimi ni kwamba huyu jamaa angeweza kuuawa kwa kitu kidogo kabisa! Dini ya wenzetu ni kazi kweli kweliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28988058484730102232012-01-08T14:17:56.259-05:002012-01-08T14:17:56.259-05:00Siyo Jasho! Mharo ulimtoka!Siyo Jasho! Mharo ulimtoka!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1215489270142485492012-01-08T14:09:41.863-05:002012-01-08T14:09:41.863-05:00Ha ha ha haHa ha ha haAnonymousnoreply@blogger.com