tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8062876937999101483..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Barbershop Girls - Umalaya kwa KinyoziChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-9049708587467032842014-03-20T08:27:18.029-04:002014-03-20T08:27:18.029-04:00Nyie manasema nini, niliona siku moja nikabaki na ...Nyie manasema nini, niliona siku moja nikabaki na maswali mengi bila majibu. Mnajua sehemu ya shingo ya mwanaume ni moja ya maeneo so sensitive, sasa weye binti umekazana unamfanyia mwanaume asiyewako massage maeneo kama hayo unataka nini? Labda kutoelewa kwa hawa mabinti lakini kwa kweli ni hatari, kitu wanachofanya kwa aliyekamilika ni kuchokoza hisia za uzinifu. Na nyie kina baba msikubali kufanyiwa massage hata oshwa nywele kwa kinyozi maana hisia zenu za mwili zipo kwa ncha ya kidoleAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66500711354430387632014-03-10T04:59:14.484-04:002014-03-10T04:59:14.484-04:00Kuowaona wahudumu ya kike wa barbershops kama sex ...Kuowaona wahudumu ya kike wa barbershops kama sex objects ni kuwadhalilisha. Ukienda barbershop basi fuata huduma inayotolewa hapo, si kuwaza ngono. Kama ni ngono, wapo wanawake tele wanaojiuza mitaani na kwenye mabaa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-34181094757045195942014-03-08T15:23:50.045-05:002014-03-08T15:23:50.045-05:00"JE, KWELI HAO BARBERSHOP-GIRLS WANAVUNJA NDO..."JE, KWELI HAO BARBERSHOP-GIRLS WANAVUNJA NDOA ZA WATU?"

Hapana Hapana Hapana! Wanauovunja ndoa ni wanaume wenjeye, ambao wanatamaa za kuingia ndani ya chupi za wanawake wasiokuwa wake zao. Hawashibi wala kutosheka. Tamaa zina matokeo mabaya! Uroho Uroho Uroho was dhambi!

Ole wao wenye uroho na tamaa! Ukmwi/ HIV na AIDS inawangoja katika kila kona. HIV-AIDS haibagui!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-25884819573507213462014-03-08T09:27:38.010-05:002014-03-08T09:27:38.010-05:00Hakuna heshima wala adabu! Wanaume wanaofanya upum...Hakuna heshima wala adabu! Wanaume wanaofanya upumbavu huo, ni wajinga, wachafu, na washamba!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-3516412671827094752014-03-08T09:24:23.089-05:002014-03-08T09:24:23.089-05:00There are people in various professions or jobs wh...There are people in various professions or jobs where they handle the human body; eg doctors, nurses, physiotherapists, hairdressers, barbers, beauty therapists, masseurs, etc.

The thing for people to remember, is that these people are merely doing their jobs (be it that they touch/ or manipulate other people's bodies, for various treatments, therapy, etc). They are NOT doing their jobs as a means to SEXUAL FAVOURS or sex trade.

This dirty new trend in the nasty behaviour of male customers in Dar's barbershops shows how SHALLOW and RIDICULOUS their ATTITUDES are; besides their actual BEHAVIOUR. Damn backward and SEXIST! Stupid to the max! What happened to look, but DO NOT TOUCH? Admire, but then leave it alone! Yeah?!

In the old days, besides fondling barmaids, some men went as far as fondling NURSES, who were there to treat them/ nurse them back to health. Damn!

Some people THINK with the CONTENTS in their UNDERWEAR, instead of thinking with what's in their heads- BRAIN! Where's their SELF-RESPECT and RESPECT for others? Goodness gracious me!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74798398931390024662014-03-08T09:07:45.933-05:002014-03-08T09:07:45.933-05:00
Kwa ujumla maisha ya vijana tanzania ni magumu, k...
Kwa ujumla maisha ya vijana tanzania ni magumu, kila siku wanatafuta namna ya kupata ujira, wanawake wanaosha vipara tena bila kuwa na vifaa vya kinga kama gloves.

Wavulana nao wanafanya kazi za kuosha miguu ya akinamama na kusuka mawigi.

Lipo kundi la wapiga debe, waendesha bodaboda, waokota makopo na vyuma chakavu yaani tabu kwa kwenda mbele.

Tumejenga shule za kata kuandaa wauza mpesa, ndiyo ajira iliyosalia kwa waliopata ziro na four.

Vyuoni vijana wanachacharika kuwafanyia asingment wazee waosha vyeti kwa ujira wa sahani za wali.

Vijana wa maofisini akiingia tu anataka awe na kivitz achane na adha ya kushikwa makalio kwenye daladala, kimbembe kwenye foleni za dar bila wese la buku teni hajaenda kazini achilia kamkopo ka bank, basi kutwa nzima kurusha sms akipiga mizinga.

Wajumbe wetu vijana nao siku nzima wanaomba miongozo angalau waonekane kwa tv manake hakuna walichofanya majimboni.
Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-31220897965972866422014-03-08T09:05:49.271-05:002014-03-08T09:05:49.271-05:00Mwanaume wa aina hiyo hajithamini.
na hapo "...Mwanaume wa aina hiyo hajithamini.

na hapo "pakujithamini" panahitaji pia mjadala mrefu.Anonymousnoreply@blogger.com