tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post80774445629729619..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Padri Auwawa Zanzibar Akielekea Kanisani Leo!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-68572163814150597462013-02-17T18:34:40.493-05:002013-02-17T18:34:40.493-05:00Toka awamu ya Nne Imeingia madarakani ni wachungaj...Toka awamu ya Nne Imeingia madarakani ni wachungaji na mapadre kuuawa tu kila kukicha. Halafu mnaambiwa kuweni watulivu.

Waislamu wataendelea kuua wakristo mpaka lini?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-88976216148429302562013-02-17T17:21:06.348-05:002013-02-17T17:21:06.348-05:00
Mungu Baba,
Damu ya watumishi wako isipotee bure...
Mungu Baba,

Damu ya watumishi wako isipotee bure bali iwe sababu ya mapatano na mshikamano kati ya wana wa Tanzania. Nakupenda Tanzania. Padre Mushi, RIP... Amina.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1231556185808165132013-02-17T17:18:13.940-05:002013-02-17T17:18:13.940-05:00Wakati maduka ya wamasai na wabara yakichomwa moto...Wakati maduka ya wamasai na wabara yakichomwa moto Znz ilikuwa ni kwasababu gani?
Mbona wepesi sana wa kusahau? Kulikuwa na udini hapo? Meseji inatumwa sasa ni baada ya ile iliyotumwa kutoiona kama ni meseji ya maana ya kuifanyia kazi.

Walianza na makanisa, then biashara za watu wara bara. Wakichoma makanisa ilikuwa ni indicator ya 'hatutaki WATANGANYIKA' wakijisikia kwamba wao ni safi na wanataka nchi yao..na kwamba bara ni wakristo, kwamba waislam wa bara si chochote.

Zilikuwa chokochoko za wazi....hatukuzisemea, sasa anapouwawa padri ndo maneno na ujuzi unaonekana.

1) Sheikh Ilunga akamatwe kwa uchochezi, ashitakiwe kwa mauaji yanayotokana na uchochezi wake
2) Waliochoma maduka na biashara za vijana wa tanganyika tuanmbiwe kama wamekamatwa na wamechukuliwa hatua gani.
3) waliochoma makanisa znz tuamiwe kama wamekamatwa na kesi zao zinaendeleaje
4) Waliokuwa wnaandamana hovyo na kudai Znz yao...walioambatana na sheikh Farid wako wpi ma kesi zao zinaendeleaje?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-51710710159728963892013-02-17T15:56:54.465-05:002013-02-17T15:56:54.465-05:00Jana Jumamosi, niliandika makala ya NANI ANAJALI, ...Jana Jumamosi, niliandika makala ya NANI ANAJALI, nikaonesha jinsi watawala walivyoamua kupuuza kila dalili za machafuko ya udini zilivyoanza kujionesha mapema sana.
Kuna watu walipongeza na baadhi hususan waislamu walinishambuliana kwa matusi na kila aina ya kashifa. Lakini hata saa 24 hazijaisha, yametokea haya!
Chongolo, na wengine tujiulize, nani aliyekuwa akijinadi katika kampeni ama wagombea wa chama kipi walionekana bayana kufanya kampeni kwa mgongo wa dini? Je, watu wa aina hii, walitegemea nini?
Je, ripoti za uchunguzi wa kupigwa risasi kwa padri miezi iliyopita na kumwagiwa tindikari kwa Sheikh soraga ziko wapi? Je, kwa uzembe huu nani ataamini tena uchunguzi wa jeshi la polisi?
Kwa nini isiundwe timu ya uchunguzi kwa kushirikisha wataalamu huru na ripoti yao itangazwe waziwazi na wahusika bila kujali dhamana zao iwe za dini ama serikali au chama wachukuliwe hatua kali mara moja?
Kama watu wanauawa, mtu anasambaza kanda ya kuhamasisha watu kuua wenzao na bado yuko huru anakula, anatamba na polisi, usalama wa taifa, watawala wapo na hakuna lolote linalofanyika, wananchi watakosea wakisema kuna mkono wa serikali? Kwa sababu wakati mwingine, watu wanapewa cha kusema kwa sababu watawala wenye wajibu wa kulinda sheria, haki, uhuru na maisha yao wanaonekana kutojali!C Misangonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-25451066944275553202013-02-17T14:24:39.644-05:002013-02-17T14:24:39.644-05:00Marehemu padre Evarist Gabreli Mbilinga Mushi ataz...Marehemu padre Evarist Gabreli Mbilinga Mushi atazikwa huko zanzibar jumatano hii, hii ni kwa mujibu wa ndugu na uongozi wa kanisa katoliki zanzibar.

Padre mushi ni mzaliwa wa uru mawela,kijiji cha kimnaganuni, moshi vijijini,alipata masomo yake katika shule ya msingi kimanganuni, na baadaye akajiunga na seminari ya uru , alipata upadirisho wake huko zanzibar.

Padre mushi atakumbukwa kote alikofanya kazi kwa utumishi kwa mungu uliotukuka. Leo asubuhi kabla ya kwenda kanisani aliongea na padre mwenzake aliyeko jamaica, akimhakikishia kuwa alikuwa amejiandaa vema kwa mahubiri yake kanisani, ilikuwa saa 12 na nusu. Mahubiri ambayo watesi wake hawakumpa muda ya kuyatoa, bali wakatoa uhai wake !Anonymousnoreply@blogger.com