tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8089273644628890623..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Kijana Edward Rupia anaomba Msaada WenuChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger7125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74319521053877462272008-05-02T05:43:00.000-04:002008-05-02T05:43:00.000-04:00Samahani kwa swali, hivi ubalozi wetu hauna fungu ...Samahani kwa swali, hivi ubalozi wetu hauna fungu la kusaidia mambo kama haya?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-28547150942329891172008-05-01T22:40:00.000-04:002008-05-01T22:40:00.000-04:00Hivi nyie wabeba mabox si huwa mnatupigia kelele k...Hivi nyie wabeba mabox si huwa mnatupigia kelele kila siku, kwamba mna mapesa, tena us dollar sio hela za madafu, sasa inakuwaje haka katoto mnakaacha kanakuja kulia lia kwenye blog, hamkachangii mara moja,jee hamuoni aibu sie walavumbi tukiwasaidia kuchangia? Sasa jamani kunafaida gani yakwenda huko marekani, kama mnashindwa kusaidiana kwenye mambo muhimu kama hayo! Sisi wala vumbi huku tufanye kazi ya kuwasomesha shule za msingi wadogo zenu, basi pia kwa vijisent hivi hivi (sio kama vya chenge) tuwatumie na nyie?! Alaa hem kuweni na aibu kidogo, kasaidieni hako katoto, kako bright sana,au mnakaonea donge, labda hakata beba mabox kama nyie kakisoma?!

Jamani yaani tu dola 2,600 tu! Hee si box za wiki 4 tu au...?

Lakini wabongo ndo zetu, michango yetu ni kitchen party, vikao vya harusi, pombe, na misiba!
Maana hapo mngesikia huyo kijana amefairiki, aah haraka haraka dola za kusafirisha maiti zingepatikana, lakini kwenda kusoma aah kila mtu anajidai changieni! Sasa we da chemi kila siku watwambia sijui umeshirki kwenye cinema hii mara hii, hivi ndo ukashindwa kumpiga tafu huyo dogo, mpaka umuanike hapa?!
Ama kweli "Jivuli la mvule hifunika walo mbali"Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-14138936627707124312008-05-01T15:59:00.000-04:002008-05-01T15:59:00.000-04:00Kwa nini tusimjangie kama kijana wetu Mtanzania? N...Kwa nini tusimjangie kama kijana wetu Mtanzania? Ndo hiyo mentality ya kusuburi donors wa nchi za nje. Ndo maana hatuendelee. Angekuwa Mnigeria au Mkenya watu wangemshamchangia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1031073975910563952008-05-01T15:28:00.000-04:002008-05-01T15:28:00.000-04:00Chemi siupitishe mchango kwa ma celebrity wenzio w...Chemi siupitishe mchango kwa ma celebrity wenzio wa Hollywood ni ngumu uko ukienda kwenye sceneAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-56211351252108357932008-04-30T23:49:00.000-04:002008-04-30T23:49:00.000-04:00Jinsi alivyoandika hiyo requst..mhh. kama kule nyu...Jinsi alivyoandika hiyo requst..mhh. kama kule nyumbani ni maombi ya kazi ya post ya director.. Kweli kuna tofauti kubwa kati ya elimu ya watoto tunaowalea kule nyumbani na wale waliopata bahati ya kuvuka maji..Inabidi Africa tukubali tumeshindwa ili tuwe na hasira ya kujinyanyua hapo tulipo..kugombana na mafisadi kwenye magazeti hakusaidii ..inatakiwa wote tuwe na hasira ya maendeleo..tuchukie umasikini ndani ya mioyo yetu..God bless Africa!!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-84205880158206544172008-04-30T22:32:00.000-04:002008-04-30T22:32:00.000-04:00I'm very impressed. Tumezoea kusikia vito vya bong...I'm very impressed. Tumezoea kusikia vito vya bongo vimeharibika Marekani. Huyo anafanya la maana. Tumchangie. Hii habari peleka kwa Michuzi pia Da Chemi ana audience kubwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-18365659129397911382008-04-30T19:49:00.000-04:002008-04-30T19:49:00.000-04:00Wakenya wangemfanyia huyo kijana HARAMBEE! Hebu ch...Wakenya wangemfanyia huyo kijana HARAMBEE! Hebu changamkeni. Mbona hatusiti kuchanga kama ni party enye mapombe. Hii jambo zuri sana.

Be a good Ambassodor, Master Rupia.Anonymousnoreply@blogger.com