tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8145522584060629247..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Je, Bei ya Vyakula Vimepanda Huko Ulipo?Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21580724539843811712011-02-25T08:38:22.899-05:002011-02-25T08:38:22.899-05:00Tanzania bei za bidhaa zinazidi kupaa. Watanzania ...Tanzania bei za bidhaa zinazidi kupaa. Watanzania tuongezee bidii kuchapa kazi ili kukabiliana na hali hii. Vinginevyo maisha yatazidi kuwa magumu sana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-30437712002134369602011-02-20T21:45:16.573-05:002011-02-20T21:45:16.573-05:00Niko North Carolina. Ni kweli tumeona bei ya vitu ...Niko North Carolina. Ni kweli tumeona bei ya vitu ikipanda ghafla ingawa ni kwa senti 5 hadi 25. Kweli ukijumlisha vitu uavyonunua unaumia.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61571357934940901942011-02-20T11:39:46.762-05:002011-02-20T11:39:46.762-05:00Wewe ni mshamba wa wapi? kutuuliza bei za vyakula ...Wewe ni mshamba wa wapi? kutuuliza bei za vyakula kama zimepanda, kwa hiyo kama vimepanda unao uwezo wa kushusha bei? au umezubaa kwenye chumba chako huna la kufanya? nenda kanisani kama umeboweka.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-20549312154092176492011-02-16T22:01:18.604-05:002011-02-16T22:01:18.604-05:00Da Kemi we ndio umeona wiki hii wenzio Salt Lake C...Da Kemi we ndio umeona wiki hii wenzio Salt Lake City, Utah mimi nimegundua tangu Mwishoni mwaka jana yaani Dec! lkn kutangaza nimeona kwenye News last week, labda kuna sehemu walikuwa bado km huko kwenuAnonymousnoreply@blogger.com