tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8238692477286597840..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mimi katika Mchezo- 'The Vagina Monologues'Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger5125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-49037974531737726082011-03-17T10:11:55.252-04:002011-03-17T10:11:55.252-04:00Anony wa 10:51PM, asante. Kulikoni kutafsiri nadha...Anony wa 10:51PM, asante. Kulikoni kutafsiri nadhani ingekuwa vema tuandike tu za Tanzania. Hizi za hapa zinafaa utamaduni wa Marekani. Ila waliweka moja kuhusu vita vya Bosnia na nikasema wanawake wa Congo wana hadithi hiyo hiyo ya kuharibiwa uke zao kwa kutiwa bunduki.Chemi Che-Mpondahttps://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-40748803782683114392011-03-17T01:51:12.958-04:002011-03-17T01:51:12.958-04:00dada nimefurahi sana kama nawe ni mshiriki katika ...dada nimefurahi sana kama nawe ni mshiriki katika michezo hiyo kweli wewe ni mwanaharakati. Ukeketaji unamaliza, ndoa za utotoni na mimba za utotoni zinamaliza watoto wa kabali za wafugaji nchini. Tunaomba mikanda hiyo kama inagusia ukatili huo iwe na tafsiri ya kiswahiliAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73677192703639287432011-03-16T22:43:48.793-04:002011-03-16T22:43:48.793-04:00Mtapigwa mawe Bongo!Mtapigwa mawe Bongo!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-10491355996295927922011-03-16T07:31:40.380-04:002011-03-16T07:31:40.380-04:00Hongera Da Chemi! Nami nilienda kwenye mchezo New ...Hongera Da Chemi! Nami nilienda kwenye mchezo New York. Ingekuwa vizuri na Tanzania wawe na Monologues kutoka kila mkoa.godfathernoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-44320791306505882612011-03-16T03:48:14.006-04:002011-03-16T03:48:14.006-04:00niliwahi kuhudhuria mchezo kama huu hapa tanzania,...niliwahi kuhudhuria mchezo kama huu hapa tanzania, nadhani katika tamasha la jinsia pale TGNP, 2009. Ilikuwa ni nzuri sana, ila bado kuna nafasi ya kuzifanya onyesho kama hizi hapa kwetu, dada na wadau hilo haliwezekani? na sisi tunahitaji kitu kama hiki kwa mwingi..Anonymousnoreply@blogger.com