tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post830577826834784469..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Hali inazidi kuwa mbaya Kenya!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-60916724191319021392008-01-05T13:47:00.000-05:002008-01-05T13:47:00.000-05:00Habari za Kenya ni za kusikitisha. Sijui mambo yat...Habari za Kenya ni za kusikitisha. Sijui mambo yataisha lini. Watoto. Wazee. Wenye ulemavu. Wanafunzi. Wanawake. Vijana wenye ndoto za maisha mazuri. Maendeleo. Ustawi wa Jamii. Vyote viko hatarini hivi sasa. Kibaki. Odinga. Tulizeni watu wenu. Fanyeni yale yatakayowasadia Wakenya, jirani zetu warejee kwenye amani waliyoizoea. Tafadhali.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-2149854429581080702008-01-05T05:13:00.000-05:002008-01-05T05:13:00.000-05:00NGALAMBA ACHA MKWARA JAMBOFORUMS WAMESHUGHULIKIWA ...NGALAMBA ACHA MKWARA JAMBOFORUMS WAMESHUGHULIKIWA VIPI?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-79620902232562296722008-01-04T12:44:00.000-05:002008-01-04T12:44:00.000-05:00Ngalamba amenena! Tafadhali usilete mjadala unaohu...Ngalamba amenena! Tafadhali usilete mjadala unaohusu uchaguzi wa Kenya.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-90412865561024603972008-01-03T16:13:00.000-05:002008-01-03T16:13:00.000-05:00Dada Chemi, sema usiogope sema!Hujasema kitu ambac...Dada Chemi, sema usiogope sema!<BR/><BR/>Hujasema kitu ambacho haijaripotiwa kwenye taarifa za habari.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-13903968693821157602008-01-03T15:25:00.000-05:002008-01-03T15:25:00.000-05:00Angalia watakushughulikia kama walivoifanzia Jambo...Angalia watakushughulikia kama walivoifanzia JamboForumsAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-61025962105923196532008-01-03T15:24:00.000-05:002008-01-03T15:24:00.000-05:00Chemi usikaribishe mjadala unaohusu uchaguzi wa Ke...Chemi usikaribishe mjadala unaohusu uchaguzi wa Kenya kwenye blogu yako, watakushughulikia sasa hii. JamboForums walikuwa mstari wa mbele kujadili wameshamalizwa tayari!Anonymousnoreply@blogger.com