tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8318528104080825337..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Mtoto wa Miaka Mitatu Abakwa KimaraChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger11125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-46916047397709731022011-02-03T01:52:34.482-05:002011-02-03T01:52:34.482-05:00MPAKA FALSAFA YA "GIVE ME FREEDOM OR GIVE ME ...MPAKA FALSAFA YA "GIVE ME FREEDOM OR GIVE ME BULLET" ITAKAPOTUINGIA AKILINI WATANZANIA NDIO TUTAKAPO ONDOKANA NA HUU UOZO. VINGINEVYO TUENDELEE KUIZOEA HII HALI AU KAMA NDUGU ZETU WAKENYA WANAVYOTUITA BONGO LALA.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-82000334264710601232011-02-02T09:34:11.311-05:002011-02-02T09:34:11.311-05:00Annoni wa February 01, 2011 7:19 PM, tufanyeni kam...Annoni wa February 01, 2011 7:19 PM, tufanyeni kama Misri tu hivihivi ni bora na wewe uingie kwenye utapeli tu, wanasema "if u can't bit them join them" hufungwi ukiwa tapeli Tanzania hii never, mi nishaamua kuingia huko naanza kujifunza kidogo kidogo tena kwa kuanzia naanza na uganga wa kienyeji mapemaaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63131572698953815442011-02-01T22:19:47.775-05:002011-02-01T22:19:47.775-05:00Habari za asubuhi wapenda maendeleo
jana nimeshan...Habari za asubuhi wapenda maendeleo

jana nimeshangaa sana nilijisikia kuumwa muda wa kama saa 3.30 usiku, nikaone niende hospitali au hata zahanati yoyote ya karibu nikaonane na mtaalamu wa afya,

nikaanzai elly charitable center- kuna mgao so wamefunga yaani hakuna umeme

aar- moroco- muda wa kazi umeisha

mount mkombozi ndo iliyonifanya niandike hii mail eti kutokana na mgao hadi wagonjwa wadini wanatumia mishumaaa!!!! kuna watoto wanalia ndani ya wadi hizo kwa maana wamelazwa ila kwa kutumia mwanga wa mshumaaa , hakuna hata genereta, sikutaka kuilaumu mamlaka haraka nilianza na wagonjwa wliopo pale ndani inakuwaje tunakubali kulazwa hospitali isiyokua hata na jenereta itakuwaje mtu akitaka kuwekewa oxygen au operation ya haraka, pale wamama wanajifungua, inakuage in case of any emergency?

kunawanaotumia insuarrance kama medex, aar,strategies, bima ya afya na wanaolipa cash woote hao wamekaa kimya kuhudumiwa pale . watanzania tutataka serikali itufanyie hata hilo............Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-75293217410964285402011-01-31T06:04:48.706-05:002011-01-31T06:04:48.706-05:00Sasa we uliyeleta hii habari huyo mbakaji atakamat...Sasa we uliyeleta hii habari huyo mbakaji atakamatwa vipi kama hata jina hajulikani, mtaje jina huyo mtu ili iwe rahisi kumpataAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29743098764136889572011-01-31T03:48:35.792-05:002011-01-31T03:48:35.792-05:00Jamani, jamani jamani... Watanzania tunakwenda wap...Jamani, jamani jamani... Watanzania tunakwenda wapi.??
Wewe kaka unayejifanya una hela sana, kwa taarifa yako atakayefuata kubakwa na huyo mdogo wako ni mwanao. Hapo ndo utaenda vizuri kumuwekea dhamana.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36952952552454317832011-01-30T12:15:33.833-05:002011-01-30T12:15:33.833-05:00Inasikitisha kweli. Hapo mbo justice ikifanya kaz...Inasikitisha kweli. Hapo mbo justice ikifanya kazi na kumwua huyo mbakaji ni halali kabisa!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-58246648449633198352011-01-30T08:15:45.000-05:002011-01-30T08:15:45.000-05:00"Utawala wa sheria haupo tena"
Kwani li..."Utawala wa sheria haupo tena"

Kwani lini ulikuwepo? au unataka kutuambia kwamba haya mambo ni mapya na yameanza juzijuzi tuu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-786199411879046132011-01-29T16:19:43.826-05:002011-01-29T16:19:43.826-05:00Utawala wa sheria haupo tena!Utawala wa sheria haupo tena!malkioryhttps://www.blogger.com/profile/05134160827358623563noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-76746267346980641072011-01-29T14:05:00.995-05:002011-01-29T14:05:00.995-05:00sijapata kuona nchi iliyokufa kama Tanzaniasijapata kuona nchi iliyokufa kama TanzaniaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-1149979576025491302011-01-29T06:30:49.415-05:002011-01-29T06:30:49.415-05:00Sasa nyie wananchi ndio mumeamua nini...mujue kuwa...Sasa nyie wananchi ndio mumeamua nini...mujue kuwa jana ilikuwa kwa huyo kesho ni kwenu...si na nyie muna watoto...haya,...kaeni kimya muone adhabu ya mungu itakavyowashukia...kutaneni, muoneni hata diwani au ikibidi muoneni mbunge...au watafuteni watu wa ustawi wa jamii/haki za watoto na akina mama...HAKI ICHUKUE MKONDO WAKE...Ikishindikana, MNAJUA LA KUFANYA...Kumbekeni, leo kwake, kesho...!emu-threehttp://miram3.blogspot.com/noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-26786315756626384352011-01-29T05:39:51.983-05:002011-01-29T05:39:51.983-05:00Huo kaka mtu apigwe! Khaa!Huo kaka mtu apigwe! Khaa!Anonymousnoreply@blogger.com