tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8407397882997461569..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Habari zaidi kuhusu Kifo cha BalaliChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger9125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-25230498236857114332008-05-22T08:07:00.000-04:002008-05-22T08:07:00.000-04:00Nani ana uhakika kuwa alilishwa sumu jamani? Hizi ...Nani ana uhakika kuwa alilishwa sumu jamani? Hizi speculations zisizo kichwa wala miguu na lifestyles hizi walizonazo wakubwa wakifa basi wamelishwa sumu au wamefanyiwa sijui nini, lakini angkuwa mtu mdogo asiye na cheo ukweli ungesemwa wazi. I doubt hiyo story ya sumu ni cover up ya maradhi mengine kabisa. Sometimes ni better kunyamaza kuliko kusingizia vitu vinavyoweza kufanya watu wakaanza kuspeculate lifestyle yako kwa undani.

Poleni wana familia kwa msiba.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-63374890770891384952008-05-22T06:20:00.000-04:002008-05-22T06:20:00.000-04:00may god rest your soul in peace.by the way your th...may god rest your soul in peace.by the way your the scapegot of bot scandal,tunajua ni wengi wamehusika,ila kosa lako marehemu nawe hukutaka,kujiondoa even through media,umeaondoka na ulale salama uliko.pamoja na siri nyingi umezijua.bila kutufichulia ukweli ,lakini spirit yako itawasumbua wengi wahusika wa kashafa hiyo,akiwemo rais,mawaziri wake,wadosi wafanya biashara,waarabu,poleni ndugu wa marehemu,yaliompata peku hata ungo yatamfika, asanteni mafisadi kwa kuumua balali,ili asifichue ukweli wenu,nanyi mungu atawadhibu hapa hapa duniani,na mali hizo za walala hoi zitawatokeeni puani.mwenye uchungu
mwanachi, long live julius nyerere,umetuachia majanga kwa kutuachia mafisadi.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-37164340533614193742008-05-22T06:15:00.000-04:002008-05-22T06:15:00.000-04:00Kifo cha Balali sio kweli.Kifo cha Balali sio kweli.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-29106312269225498882008-05-22T03:37:00.000-04:002008-05-22T03:37:00.000-04:00HABARI YA KAZI.YAMESEMWA MENGI HAPA, KILA MTU AMEO...HABARI YA KAZI.

YAMESEMWA MENGI HAPA, KILA MTU AMEONGEA LAKE. LAKINI MI NIMESIKITISHWA NA WALA SITAKI KUAMINI HAYA MAMBO WATU WANAYOTAKA WATU WENGINE WAYAAMINI.

ETI KIFO CHA BALALI NI KUZIMA ISHU YA EPA? KAMA KWELI KUNA WATU WAMEFANYA HIVO WAKIAMINI KIFO CHAKE NDIO MWISHO WA EPA NAWAONEA HURUMA? NA WALA SITAKI WATANZANIA WENZANGU WAAMINISHWE HIVO.

NASEMA HIVI KWA SABABU ZANGU(INGAWA WENGINE HUENDA WASIKUBALIANE NAMI).

KWANZA
MIMI SIAMINI KAMA BALALI NDIO ALIKUA FUNDI MKUU(CHIEF ARCHITECT) WA MPANGO MZIMA WA MADUDU HAYA, LAZIMA KUNA WATU.(MIMI NAAMINI BALALI ALIKUA (MRATIBU)COORDINATOR TU.
KWA MAANA HII WATANZANIA HAWANA HAJA YA KUHANGAIKAKUKAUSHA MATE KUTAKA MAITI YA BALALI LEO. WATANZANIA TUNATAKIWA KUSONGA MBELE, KWA KUTAFUTA HAWA WAHUNZI WA MPANGO HUU MZIMA? NA HII WALA HAIHITAJI SHAHADA.

PILI,
BALALI ALIKUA SIO MUANDIKA HATI ZA MAOMBI YA MALIPO YA FEDHA HIZI (ZA EPA) KUNA WATU WALIANDIKA TENA KWA MADODOSO YALIYOSHEENI UJIVUNI WA TAALUMA ZAO.WATU HAO NDO ADUI WA TANZANIA KULIKO HATA MAITI HII TUNAYOIGOMBEA.

TATU,
SIAMINI NA WALA SITAKI KUKUBALI KWAMBA FEDHA (ZETU) HIZI ZOTE ZIPO KWA BALALI. KUNA WATU WANAZO TENA NYINGI. KAMA INGEKUA NI KAMPUNI KUTOLEA MFANO BASI DALALI AAH KUMRADHI BALALI YEYE ALIPATA GAWIO LA GHARAMAZA KIUTAWALA TU (MANAGEMENT COST).NA MARA NYINGI GAWIO HILI HALIZIDI ASILIMIA KUMI.

MWISHO,
WASIWASI WANGU NI KWAMBA INAONYESHA KUNA MBINU ZINAFANYIKA ZA KIUFUNDI ZA KUTAKA KUWAPOTEZA WATANZANIA NJIA YA MAPAMBANO KWA KUTAKA KUWAAMINISHA WATANZANIA KUW ABALALI NDIO ALIKUA KILA KITU. LAKINI WATANZANIA WAJIULIZE KWANI HUYU BALALI ALIKUA WAPI NA NANI NA ALIKUA NAMAADILI GANI KABLA HAJAKUTANA NA GENGE HILI LA MAFUNDI WAZIMA WA MPANGO HUU WLAIOUPA JINA LA EPA? JE BALALAI SI KWAMBA AMEJIKUTA AMEWEKWA KATI KIASI KWMABA KUTOKANA NA IMANI YAKE KUWA HABA AKAWEZA KUVUTIKA?

NITOE MFANO JINSI NINAVOOONA SUALA LA BALALI KUINGIA KATIKA JANGA HILI. NI SAWA NA BABA KATIKA FAMILIA ALIYEJIKUTA AMEINGIA KATIKA MTEGO WA HOUSEGIRL ANAYEMFANYIA VISA ATEMBEE NAE, NA BABA YULE PAMOJA NA KUJITAHIDI KUIZUIA TABIA ILE CHAFU ANAJIKUTA UZALENDO UMEMSHINDA NA BAADAE KUINGIA KWENYE MTEGO.

NAWASILISHAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-92193908598283176062008-05-22T02:50:00.000-04:002008-05-22T02:50:00.000-04:00kalale pema peponi kamandaaa....kalale pema peponi kamandaaa....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73366859403418443852008-05-22T01:03:00.000-04:002008-05-22T01:03:00.000-04:00Biblia inasema "Roho, nafsi itendayo dhambi, itaku...Biblia inasema

"Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa" (Ezek. 18:4)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-23500378630507837262008-05-22T01:02:00.000-04:002008-05-22T01:02:00.000-04:00noBiblia inasema "Roho, nafsi itendayo dhambi, ita...noBiblia inasema

"Roho, nafsi itendayo dhambi, itakufa" (Ezek. 18:4)Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-87957753124668160672008-05-21T22:15:00.000-04:002008-05-21T22:15:00.000-04:00REST IN PEACE GOVERNOR BALALLI!REST IN PEACE GOVERNOR BALALLI!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-53410893595434694652008-05-21T18:17:00.000-04:002008-05-21T18:17:00.000-04:00I know exactly what my fellow tanzanians are think...I know exactly what my fellow tanzanians are thinking on mindboggling issues like this one.Some may not believe he is gone and are angry,some will believe but still angry and everyoneelse will be in between.Balali amejitakia mwenyewe he bought too much time contemplating when,whether or not and how to tell the truth.All he had to do is walk down to media offices with his two best lawyers and dish all the dirt out about who,when,how and how much as well as his position on the dirt.Instead he had to get a visa,get on the plane then go see kidosho WASHINGTON dc,then see mama watoto,then anazidiwa and kuacha kinote kwa mwanafamilia wa karibu.Yaani ameiface hii issue cowardly and childish.
Anyway my heart and prayers goes out to his family during this hard time and may he rest in peace
Mziwani pumbuj4
columbus.Anonymousnoreply@blogger.com