tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8446870367204396498..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Tamko la Mh. John Malecela Kuunga Mkono Kauli ya Paul MakondaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-18877040887841341222014-02-02T09:31:54.339-05:002014-02-02T09:31:54.339-05:00Dah! Watu wa Lowassa wako kila mahali. The web is...Dah! Watu wa Lowassa wako kila mahali. The web is crawling with Lowassa's foot soldiers. Kazi ipo.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-66687088471241418392014-02-01T10:39:23.312-05:002014-02-01T10:39:23.312-05:00ah nae yumo kumbe....mzee malechela hakuna cha kum...ah nae yumo kumbe....mzee malechela hakuna cha kumbuka, saana alichokifanya kipindi chake ni kutaka kuvunja muuunganio......hana hoja huyu mzee, naona na kauzee kanamfanya achemke, hakuna kipya hapo
kiukwweli kampeni za kisasa lazima pesa na mbinu zitumike, friends of lowassa si jambo baya hata kidogo...kumbukeni jamanai friend of slaa, friend s of obAMA NK
PESA zinatoka wapi ni kwa wale wanamtaka Rais awo awe lowassa, kwani ni siri....tunamtaka kwasababu anafaa, sasa nani wa kumzuia? ajitokeze tumwoneAlfrednoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-74041701130133190402014-02-01T10:38:26.976-05:002014-02-01T10:38:26.976-05:00msingi mimi hapa sioni tatizo kwa John Malecela wa...msingi mimi hapa sioni tatizo kwa John Malecela wala kwa ENL. Hizi ni mojawapo ya mikakati ya kila mtu katika kutafuta kitu Fulani. Unaweza kuwa na mkakati ambao wengine wanaweza kuuona kama ni threat kwa hiyo lazima upingwe kwa nguvu zote. Lakini pia unaweza kuwa na mkakati ambao ni legelege watu hawatashughulika na wewe.

Katika nadharia ya mikakati ipo mibaya na mizuri, kanuni kuu ni kutokata tama na kuwa na anti muda wote. Unapanga utakavyofanya na unaweka na possibilities za kupingwa na jinsi utakavyoshughulika nazo.

Hili ndilo limetokea hapa, ukiwa kwenye mkakati wakati mwingine huoni upande wa pili, sasa ukiwa muungwana lazima pia uwe na utaratibu wa kupata feedback na uwe na mkakati wa jinsi ya kushughulika nao.

Mkakati wa ENL kuingia NEC siyo tatizo wala hauwezi kuwa kigezo cha kukubaliwa na NEC yenyewe au wengine wapinga kura there after. Kuna hatua kubwa zaidi inatakiwa kupigwa kwa strategist wanajua hilo.

Wengine wana mkakati wa kimya ambao katika political scientist mara nyingi wanausema haufai na hauzai matunda matunda ya haraka japokuwa ukifanikiwa huwa unatoa matokeo ya muda mrefu kuliko mkakati wa kutaka kujulikana haraka.

All in all Samweli katoa mchango na mtizamo wake kama mtu mzima, mtu anapoubeza kwa ukweli ana matatatizo na akili yake. Mniwie radhi kwa lugha hiyo. Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-36832946345376290512014-02-01T10:38:01.949-05:002014-02-01T10:38:01.949-05:00Mwaka 1995 sio mbali kwamba John hatambui makosa a...Mwaka 1995 sio mbali kwamba John hatambui makosa aliyoyafanya tena pia akiwa mtu mzima mwenye akili timamu zaidi ya sasa,unapotuambia kwamba katoa mchango wake kama mtu mzima ndipo binafsi nasema anazani tumesahau/tumesamehe??

Kwa kuwa njia anayosema sio sahihi na yeye alitaka kupita huko huko na anajua kwamba haikuwa sahihi na hajawahi kuomba radhi watz kwa uhuni aliotaka kutufanyia,sasa amepata wapi ujasiri leo wa kuikemea hadharani kwamba ni makosa, Kunyara unajua fika kwamba hapa jukwaani hakuna watoto na kama hizi ndio dalili za utu uzima basi inaleta shaka kwamba katika uzee wetu wengi wetu tutakuwa wendawazimu na useless katika jamii. Kuwa mtu mzima sio maana yake kila mchango unaotoa utakuwa na umuhimu.
Ikiwa pamoja na wewe unaetetea uhuni wa kitoto aliofanya huyu musee katika umri wake, naona kuna tatizo la busara ndani yenu. Mniwie ladhi kwa lugha

Anonymousnoreply@blogger.com