tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post8677703775316122609..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Daudi Balali Asakwa na Wapelelezi Marekani!Chemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger4125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-81952536275554856692008-05-21T11:48:00.000-04:002008-05-21T11:48:00.000-04:00Tanzania tunasafari ndefu sana, Ipo siku Mungu ata...Tanzania tunasafari ndefu sana, Ipo siku Mungu atatujalia kupata viongozi wenye mtazamo mpya na wenye uchungu na nchi yao, sasa Balali amekufa ushahidi wote kwa heri!Lazarus Mbilinyihttps://www.blogger.com/profile/08364878664766568284noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-73636165815762369522008-05-21T09:44:00.000-04:002008-05-21T09:44:00.000-04:00na kwa nini kama serikali ndo ilimpeleka huko kwa ...na kwa nini kama serikali ndo ilimpeleka huko kwa matibabu, na ilisema inamgharimia! then leo waanze kumtafuta, ina maana serikali haijui mtumishi wake alikuwa anatibiwa wapi japo gharama inalipa??<BR/>tutafika tu, kanyaga twende baba kikwete!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-85683721305226530342008-05-21T07:11:00.000-04:002008-05-21T07:11:00.000-04:00Wamwache tu, alishapiga bao lake saaafi, katulia, ...Wamwache tu, alishapiga bao lake saaafi, katulia, na wao walichochuma wale hicho hicho.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-21187310400666360132008-05-20T21:57:00.000-04:002008-05-20T21:57:00.000-04:00Serikali inatumia kiasi gani kugharimia hao wapele...Serikali inatumia kiasi gani kugharimia hao wapelelezi kutoka Bongo huko Marekani? At the end of the day mtasikia kuwa wametumia $10million na zaidi kumtafuta Balali.Anonymousnoreply@blogger.com