tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post945494615879507489..comments2024-03-22T03:02:53.585-04:00Comments on Swahili Time: Bishop Zachary Kakobe Yuko Toronto, CanadaChemi Che-Mpondahttp://www.blogger.com/profile/16717731951202118305noreply@blogger.comBlogger6125tag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-3813715332574938352014-06-19T00:53:39.161-04:002014-06-19T00:53:39.161-04:00nyie watu mbona hamufikirii? ninyi dini yenu kazi ...nyie watu mbona hamufikirii? ninyi dini yenu kazi kutoana mapepo tuu ina maana hakuna jambo lingine watu wanahitaji au ni uhuni tuu.
na kwa nn ili watumishi wenu waonekane wapo vizuri lazima awe anatoa pepo?na hayo mapepo yanatlewa kila siku na kila mkutano hayaishi kwa sababu gani? zinduka UISLAMU NDIO DINI YAKO EWE MWANADAMU KITAKA ISIYO KUWA HIYO SIKU YA KIYAMA UTAKULA KHASARA ISIYO YA KAWAIDA.............................Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-56038596673014560932013-06-22T11:35:46.023-04:002013-06-22T11:35:46.023-04:00Niko Toronto na kwa kweli inaendelea vizuri!Niko Toronto na kwa kweli inaendelea vizuri!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-12355778145742066262013-06-21T12:39:49.184-04:002013-06-21T12:39:49.184-04:00Gosh! Miracles? My foot! Just as the 11:25AM Anony...Gosh! Miracles? My foot! Just as the 11:25AM Anonymous pointed out, just another Loliondo. Pure rip-offs, and megalomania antics! When are people going to learn?

Open your eyes people. Work hard and you will achieve your goals and 'dreams'.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-555468939331746572013-06-21T05:04:21.005-04:002013-06-21T05:04:21.005-04:00Marko 16:17-18 Na ishara hizi zitafuatana na hao w...Marko 16:17-18 Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio; kwa jina langu watatoa pepo; watasema kwa lugha mpya;watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

Wewe anony wa kwanza hapo juu, huwezi ukamfananisha Askofu Kakobe na babu wa Loliondo , Mtumishi wa Mungu askofu Kakobe anahubiri kwa jina la YESU KRISTO na miujiza inayofanyika inafanyika kwa jina la YESu KRisto, lakini muujiza mkubwa kuliko wote ambao mtumishi wa Mungu Kakobe anauhubiri ni watu kutubu dhambi zao kwa kumwamini Bwana YEsu na kazi aliyoifanya msalabani. Walevi,makahaba na wengi wanabadilishwa kabisa na kumwishia Mungu katika usafi na utakatifu. Mtu yeyote anayempinga Mtumishi wa Mungu kama Askofu Kakobe anayehuburi watu waache dhambi ni dhahiri hatokani na Mungu bali ni mtoto wa Shetani na mahali pake ni jehanamu ya Moto, kama baba yake shetani.wakati babu anagawa kikombe cha kuoteshwa na mizimu ambao ni watenda kazi wa ibilisi na hahubiri watu waache dhambi. vitu viwili tofauti kabisa. kama hujui kitu kaa chini jifunze kabla ya kuanza kuandika. Ficha upumbavu wako usifiche hekima yako.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-24871795469866330472013-06-20T21:09:03.893-04:002013-06-20T21:09:03.893-04:00Halleluyah! Askofu atafanya miujiza!Halleluyah! Askofu atafanya miujiza!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-17229004.post-64296667939974001202013-06-20T14:25:02.232-04:002013-06-20T14:25:02.232-04:00Oooh africans, my people africans; hivi ni nani al...Oooh africans, my people africans; hivi ni nani aliyewaloga mkawa wapumbavu kiasi hiki?

Sasa huyo na yule wa loliondo wana tofauti gani?Anonymousnoreply@blogger.com