Swahili Time

Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.

Thursday, March 30, 2006

Mandisa aka Mandiva

›
Kama mnaangalia mashindano ya American Idol, mtaona mwaka huu kuwa kuna dada fulani anaitwa Mandisa. Huyo Mandisa ana miaka 29, ni Mmarekani...
9 comments:
Tuesday, March 28, 2006

Ulafi wa Bia Haipendezi Marekani

›
Ulafi wa Bia Haipendezi Marekani! Hivi majuzi nilienda kwenye ‘Party’ ya waBongo hapa Boston. Party ilifanyika kwenye basement ya nyumba. Na...
3 comments:
Friday, March 24, 2006

Nilikuwa 'Busy' Kidogo

›
Habari zenu wasomaji wapendwa. Kwanza naomba mnisamehe kwa kutokubandika posti mpya hapa siku nyingi. Nilikuwa busy kidogo, na mambo ya uigi...
5 comments:
Tuesday, February 14, 2006

Kumbuka Mpenzi Wako!

›
Leo ni Valentine’s Day yaani sikukuu ya Wapenzi. Ni siku ya kukumbuka wapenzi wetu. Na huko Tanzania nakumbuka tulikuwa tunakesherekea kwa k...
3 comments:
Friday, February 10, 2006

Wanaume Mkienda ‘Abroad’ Mzoee Kufanya Mambo ya Kike Kike

›
Leo ngoja niongee kuhusu tatizo wanaume wa kiBongo wanaopata wakija hapa Marekani au Ulaya Hasa wakienda sehemu enye baridi sana. Ni kweli h...
Saturday, January 21, 2006

Kukosa Nguvu za Kiume si Mwisho wa Dunia!

›
Jamani, jamani, jamani, kuna jirani yangu kafa hivi majuzi. Alikuwa ni baba wa makamu, mmarekani mweusi. Alikuwa mcheshi na ilikuwa kila tuk...
12 comments:
Tuesday, January 03, 2006

Tupende Urembo Asili

›
Baada ya kuandika kuhusu matako makubwa, na kusoma feedback yenu, nimeona niongee kuhusu mashindano ya urembo. Asante kaka Ndesanjo kwa kun...
8 comments:
Saturday, December 31, 2005

Heri ya Mwaka Mpya!

›
Wapenzi wasomaji, nawatakia heri ya mwaka mpya. Naomba mwaka 2006 iwe wa amani na upendo na majalio tele kwa wote. HERI YA MWAKA MPYA!
5 comments:
Wednesday, December 21, 2005

OmbaOmba

›
OmbaOmba Hapa Boston kuna ombaomba kibao! Tena wengi ni wazungu. Hao ombaomba wengi wao ni walevi na watumia madawa y kulevya na wenye ugonj...
2 comments:
Monday, December 12, 2005

Asante Civil Rights Movement!

›
Bibi Rosa Parks amefariki dunia jana 10/24/05 akiwa na umri wa miaka 92. Kwa kweli aliishi mpaka uzeeni kabisa, lakini alifanya mengi na ali...
1 comment:
Saturday, December 03, 2005

Wapenzi wa Matako Makubwa

›
Wapenzi wasomaji, leo nimeamua kuzungumzia suala ya matako makubwa. Tafadhali msione kama ni matusi lakini hapa USA ni issue kubwa, maana wa...
35 comments:
Saturday, November 26, 2005

Ugonjwa wa Mafua ya Ndege (Bird Flu) – Disease of the Day!

›
Ugonjwa wa Mafua ya Ndege (Bird Flu) – Disease of the Day! Haya jamani, kuna huo ugonjwa unaitwa Bird Flu ambayo wanasema iko hatarini kuing...
2 comments:
Tuesday, October 18, 2005

Acheni Ushamba

›
Acheni Ushamba! Jamani, jamani, jamani! Siku hizi nikiona vijana waBongo hapa mitaani Boston nakimbia! Hao vijana siyo wale wa miaka ya nyum...
9 comments:

Sinema Mpya - TUSAMEHE

›
Watu wanangojea kwa hamu sinema mpya iitwayo, TUSAMEHE. Hiyo sinema ni kitoto cha Ndugu Josiah Kibira wa Minneapolis, Minnesota. Sinema hiy...
3 comments:
Thursday, September 29, 2005

Barack Obama

›
Hii ni jambo la kujivinia sisi wana Afrika Mashariki kuwa huenda rais wa kwanza wa Marekani Mweusi huenda akawa Barack Obama ambaye ni Sena...
5 comments:
Wednesday, September 28, 2005

Any time is Swahili Time

›
Baada ya kuongo waBongo wenzangu wakiblogu wa Kiswahili na mimi nimeamua nianzishe blogu ya kutoa maoni kwa Kiswahili. Hii ni posti ya kwa...
1 comment:
‹
Home
View web version

About Me

My photo
Chemi Che-Mponda
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA. You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
View my complete profile
Powered by Blogger.