Swahili Time

Blogs in Kiswahili, the main African language of EAST AFRICA.

Saturday, December 06, 2014

TAHADHARI MUHIMU KUTOKA MICHUZI MEDIA GROUP

›
MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA MICHUZI MEDIA GROUP (MMG) ANAPENDA KUTAHADHARISHA WADAU POPOTE WALIPO KUHUSIANA NA UJUMBE (PICHANI) A...
1 comment:

Kifo cha Eric Garner - Aluyeuawa na Polisi Mjini New York

›
Wadau, nina uchungu sana na kifo cha Mmarekani mwesu i, Eric Garner (42). Aliuwawa na polisi wabaguzi. Walisema alikuwa anauza sigara kwa s...
1 comment:

Mimi na Carrie

›
Mimi na Mcheza  sinema, Carrie Coon wa Thamthiliya, The Leftovers, inayonyeshwa kwenye HBO.  Carrie alikutana na washabiki wake hapa Bosto...
Sunday, November 30, 2014

Wafunga Ndoa Uchi

›
Haya jamani, kwa nini mnapoteza kununua nguo za harusi wakati mnaweza kusevu pesa kwa kufunga mkiwa uchi?  Hao wazungu walisema hela ya ng...
1 comment:
Saturday, November 29, 2014

Rais Kikwete Awasili Dar es Salaam, Apata Mapokezi Makubwa!

›
PICHA NA IKULU Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa abiria wakati ndege aliyopanda ilipotua katika Uwanja wa Ndege wa ...
Saturday, November 22, 2014

Tanzania Imeibiwa Tanzanite

›
Kutoka THE CITIZEN Jamani, serikali iko wapi? Tunaibiwa madini, wengine wanafaidi. Hiyo hela ingesaidia kukarabati hospitali, shule etc....
1 comment:

Al Shsabab Waua Abiria wa Basi wasio WaIslam Kenya

›
 Jamani, jamani! Tunaelekea wapi? Hizi chuki za kidini ziishe!  Siyo utamaduni ya Afrika Mashariki. Mungu ailaze roho zao mahala pema mbin...
Friday, November 21, 2014

Amsulubu Aliyemwibia Mume Wake!

›
Wadau, hii kali! Wanawake wote wangesulubu wanaowaibia wanaume wao hivyo, wizi huo ungepungua sana!
Sunday, November 16, 2014

Jaji Mkuu Amjulia Hali Rais Kikwete Marekani

›
 Picha na habari kutoka Ikulu.     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman aliyemtem...
Saturday, November 15, 2014

Mchawi Atubu, Aomba Msamaha! (Samahani Yuko Uchi)

›
Huyo mchawi alikamatwa aliloga. Wachawi wakitambika wanakuaga uchi, ndo mana huyo mchawi yuko uchi!  Akome kabisa kuloga watu! Naona aliogop...
5 comments:
Friday, November 14, 2014

Maoni ya Prof. Joseph Mbele Kuhusu Kunyayaswa kwa Jaji Warioba

›
 Kutoka  Hapa Kwetu   Blog  Kuhusu Kunyanyaswa kwa Jaji Warioba Kati ya mambo yaliyonishtua sana mwaka huu ni kunyanyaswa kwa Jaji Wario...

Rais Kikwete Atoka Hospitalini Baada ya Kupata Nafuu

›
 PICHA NA HABARI KUTOKA IKULU: Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete  akisindikizwa na Daktari Bingwa Edward Schaeffer kutoka Hospitali ya ...

Rais Kikwete Aruhusiwa Kutoka Hospitalini!

›
 Kutoka  AllAfrica.com President Jakaya Kikwete has been discharged from the Johns Hopkins Hospital in the United States on Wednesday ev...
Sunday, November 09, 2014

Rais Kikwete Anaendelea Vizuri Baada ya Upasuaji John Hopkins Hospital (USA)

›
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula aliyekwenda kumjulia hali katika hospit...

Rais Kikwete Afanyiwa Upasuaji Marekani!

›
Tumwombee uzima Rais wetu Mpendwa, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete. Amen, Amin . **************************** Rais wa Jamhuri ya Muungan...
Saturday, November 08, 2014

Basi la Happy Nation yapata Ajali Mbeya!

›
 Natoa pole kwa waliojeruhwa! **************************************************** Basi lenye namba T281 ARR mali ya Happy Nation...

Usikate Tamaa

›
Nilibakwa nikiwa na Umri wa Miaka 9" - Oprah Winfrey "Sikumaliza hata Elimu yangu ya Chuo" - Bill Gates "Kwenye Mais...
Sunday, November 02, 2014

Jaji Warioba Anusurika Kupigwa Kwenye Mkutano!

›
BBC Swahili Nchini Tanzania vurugu zimekatisha mdahalo ulioitishwa kujadili yatokanayo na rasimu ya katiba iliyopendeke...
11 comments:
Saturday, November 01, 2014

Mzee Richard Mabala Amefiwa na Mke Wake

›
Kutoka Facebook Mke wangu mpenzi, Etinisimbo (Manka) amefariki dunia leo baada ya kuugua muda mrefu. Mungu amempumzisha maana magonjwa ...
Saturday, October 25, 2014

Mh. Shy-Rose Bhanji Ajibu Shutuma Dhidi Yake

›
Mh. Shy-Rose Bhanji Mimi Shy-Rose Bhanji, Mbunge wa Afrika Mashariki-Tanzania, ninapinga vikali na kwa nguvu zote shutuma zilizotole...
1 comment:
‹
›
Home
View web version

About Me

My photo
Chemi Che-Mponda
I worked for Tanzania's Daily News for 11 years leaving as a Senior Reporter. I love acting, films, short story writing and cooking. I blog in English and Swahili. I am a member of the Screen Actors Guild (SAG) and AFTRA. You can contact me at chemiche3@yahoo.com.
View my complete profile
Powered by Blogger.