Wednesday, November 30, 2011

Ph.D Opportunities for Tanzanian Women

If you want to start doing a Ph.D, here is your chance:

 Deadline for submission of application is 31 December.

http://www.itc.nl/Pub/research_programme/Research_opportunities.html

Saturday, November 26, 2011

Ordination of Pastor Ephraim Kyando, Boston, MA


Siku ya jumapili, Novemba 20, 2011, Ndugu Ephraim W. Kyando alipakwa mafuta rasmi na kuwa mchungaji katika kanisa la International Gospel Church, Chelsea, MA. Pastor Kyando atakuwa Pastor msaidizi. Pastor Jared Mlongecha ni Pastor Mkuu. Wanaompaka mafuta ni wachungaji Pastor Jared, na Pastor Isaac Balinda kutoka Uganda.  Pastor Jared na Pastor Balinda walipakwa mafuta mwaka 1999 pamoja na marehemu mume wangu Reverend Douglas Whitlow na Askofu Zakaria Kakobe.

Hongera Pastor Kyando!

Tanzia - Annel Mwakipunda Mwaisumo








FAMILIA YA MWAKIPUNDA WA NGAMANGA IPINDA KYELA MKOANI MBEYA WANASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MPENDWA WAO ANNEL MWAKIPUNDA MWAISUMO KILICHOTOKEA TAREHE 26/11/2011 DAR ES SALAAM. MAZIKO YATAFANYIKA MOROGORO TAREHE 28/11/2011
HABARI ZIWAFIKIE FAMILIA YA MWAKIPUNDA,FAMILIA YA MWAISUMO,NDUGU,JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO.
BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE MILELE NA MILELE
AMEN

Wednesday, November 23, 2011

Happy Thanksgiving!


Thanksgiving is the one holiday in the United States which is about family. Stores close early, the highways, airports, bus terminals, train stations etc. are packed with travelers going to see their loved ones. Everyone celebrates regardless or race or religion.  Ni siku ya shukrani hasa!

Happy Thanksgiving Everyone!

Tuesday, November 22, 2011

Tanzania Haitalazimishwa Kukubali Haki za Mashoga!!

Mashoga

Tanzania stands firm on aid-gay rights spat with UK


DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania has become the latest African government to say it will not legalise homosexuality even if that means it loses substantial financial aid from Britain.
Government officials reacted strongly to Prime Minister David Cameron's threat to cut aid to countries that deny gay rights.
"Tanzania will never accept Cameron's proposal because we have our own moral values. Homosexuality is not part of our culture and we will never legalise it," foreign affairs minister Bernard Membe was quoted as saying by Tanzania's Guardian newspaper.
"We are not ready to allow any rich nation to give us aid based on unacceptable conditions simply because we are poor. If we are denied aid by one country, it will not affect the economic status of this nation and we can do without UK aid."
Tanzania, a former British colony and one of Africa's biggest per capita aid recipients, received $453 million (282 million pounds) of aid for its 2011/12 budget, with Britain the largest provider of general budget support.

Ghana's President John Atta Mills said Wednesday his government would never legalise homosexuality. Uganda has also reacted strongly to Cameron's comments.
The Department for International Development (DFID) gave Tanzania 144 million pounds in aid in 2009/10 and has pledged to spend an average of 161 million pounds per year in Tanzania until 2015.
Homosexuality is a serious criminal offence in Tanzania, punishable by imprisonment, but no one has been prosecuted.
"We cannot be directed by the United Kingdom to do things that are against our set laws, culture and regulations," Membe was quoted as saying.
Zanzibar President Ali Mohamed Shein also rejected the British demands for gay rights to be respected in Tanzania.
"We have strong Islamic and Zanzibari culture that abhors gay and lesbian activities, and to anyone who tells us that development support is linked to accepting this we are saying no," Shein told journalists Thursday.
Zanzibar, Tanzania's semi-autonomous archipelago, enacted a law in 2004 banning homosexual relations. Male offenders face more jail time, up to 25 years, than convicted women.
Homosexuality is illegal in 37 African countries, and rights groups say gays are often the targets of violent hate campaigns.
(Additional reporting by Ally Saleh in Zanzibar; Editing by Richard Lough and Robert Woodward)

Saturday, November 19, 2011

Mwenyekiti wa CCM Awasili Dodoma Kwa Vikao Vya Chama






Na Mwandishi Maalum, Dodoma, Jumamosi Nov. 19, 2011



Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Jumamosi (Nov 19) jioni amewasili mjini Dodoma tayari kwa vikao muhimu vya chama hicho tawala vitavyofanyika kwa siku nne katika ukumbi wa Makao Makuu ya CCM maarufu kama White House.


Katika Uwanja wa ndege wa Dodoma Dkt Kikwete amepokewa na viongozi pamoja na wana CCM wengi wakiongozwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilal na Waziri Mkuu Mizengo Pinda ambaye ni Mwenyekiti wa Wabunge wa CCM.

Baada ya mapumziko mafupi katika Ikulu ndogo ya Dodoma Dkt Kikwete alielekea ukumbi wa St. Gaspers ambako aliongea na wabunge wa CCM na kupata nao chakula cha usiku.

Katika hotuba yake, Dkt Kikwete aliwapa changamoto wabunge hao wa CCM waende kwa wapiga kura wao na kuwaelemisha kuhusu mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya uliopitishwa Jumamosi Bungeni Dodoma.

Dkt Kikwete aliwasisistizia wabunge hao umuhimu wa kupeleka elimu hiyo ya mchakato wa kupata katiba mpya kwani hivi karibuni kumekuwepo na upotoshaji mkubwa wa nini kinachoendelea, na kusema kuwa wakiwa wabunge wa chama tawala ni wajibu wao kuelimisha umma kwamba kanuni na sheria zote zimefuatwa katika kupitisha muswada huo ambao umesomwa kwa mara ya pili, baada ya kusomwa mara ya kwanza kwa mujibu wa sheria.

Rais Kikwete aliwakumbusha wabunge hao kwamba mchakato huo si jambo geni na kwamba ndio uliofuatwa na Marais wote toka wa awamu ya Kwanza hadi ya tatu, akisisitiza kwamba ni muhimu wanancho wote wakaelewa hilo, ikizingatiwa kwamba kuna baadhi ya watu wachache wanaotaka kupotosha umma kwamba hatua hiyo ni batili wakati sio kweli, ikizingatiwa kwamba kila lililo katika katiba ya sasa limezingatiwa.

Pia aliwasihi Watanzania kujitokeza kutoa maoni yao ya ni katiba gani wanayoitaka pindi muda wa kufanya hivyo utapowadia, na wasikubali kughiribiwa na wachache waliopania kupindisha ukweli.

Kwa mujibu wa ratiba leo Jumapili kutakuwa na Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili ukumbi wa White House kitachofanyika kutwa nzima, kitachofuatiwa na kikao cha Kamati kuu ya CCM Jumatatu na Jumanne. Halmashauri kuu ya CCM itakutana kuanzia Jumatano hadi Ijumaa.

Wanasukana

 Hao ni wakimbizi kutoka Msumbiji wakisiukana huko Mbamba Bay mwaka 1994.

Picha imepigwa na  Conscianscia Negra

Friday, November 18, 2011

Prof. Chris Maina Peter of UDSM Appointed Member of the UN International Law Commission

From ASSAH MWAMBENE in New York




A Tanzanian distinguished Professor Chris Maina Peter (pictured) was yesterday voted Member of the United Nations’ International Law Commission (ILC) by the 66th UN General Assembly.

Announcing the results here yesterday, the President of the 66th United Nations General Assembly, Ambassador Nassir Abdulaziz Al-Nasser said Prof Peter is among the 34 members voted in the commission out of 49 candidates who had vied for the seats. A former Kenyan Attorney General, Amos Wako has also been voted member of the Commission.

Prof Chris Maina Peter, who is currently a Professor of Law at the University of Dar es salaam, was among13 contestants from the African continent who were vying for the nine slots reserved for the African
countries in the UN's legal body.

Prof Peter who is currently in Ethiopia for official engagement said " I am delighted for the honor and more so to my government for seconding my candidacy and a spirited campaign."

Other countries that fielded candidates from Africa South Africa, Kenya, Sudan, Libya, Algeria, Cameroon, Egypt, Malawi, Mozambique, Nigeria, Mali and Cote d'Ivoire.

Prof Peter will serve in the Commission for the period of five years effective January next year.

Prof Chris Maina Peter was born on 14th April 1954 and holds a Ph D in Law from the University of Konstanz in Germany. He once served as a Member of the United Nations Committee on the Elimination of the Racial Discrimination (CERD), United Nations High Commissioner for Human Rights, Geneva, Switzerland.

Prof. Peter has also published widely in the area of Human Rights, Humanitarian Law, Public International Law and Good Government.

My Ummah Blog

WADAU NAITAMBULISHA KWENU ISLAMIC SITE MY UMMAH FAIDIKA NA MASUALA MBALIMBALI YA DINI YA KIISLAMU KWA KUITEMBELEA

ASALAM ALAIKUM WARAHMATULLAH WABARAKATHU, I HOPE YOUR DOING FINE. AND EVERYTHING GOING WELL.

SHARE THIS LINK TO ALL MUSLIM AND INSHA ALLAH TABALAKAH WATAALAH ALLAH WILL REWARD YOU A GREAT REWARDS HERE IN THIS WORLD AND HEREAFTER, AMIN.

"My Ummah" is a SITE created for the purpose of spreading the word of Allah to the Ummah (i.e Nations, Community), which was not only the main Sunnah of our beloved Prophet Muhammad (Pbuh) but of every Prophet sent by Allah (S.W) on the Earth to Mankind, which is now our responsibility to follow the same way Insha Allah.

THE LINK IS HERE BELOW:

http://myummah76.blogspot.com/2011/11/7-daily-spiritual-productive-habits-to.html


WABILAH TAWFIQ.

Tuesday, November 15, 2011

Picha za Bongo Miaka Ile!

Mdau Dar Millionaire ametuma hizi picha za Bongo miaka ile.  Sehemu zingine hazijabadilika sana.
Oyster Bay

Korogwe Hotel

Maghorofa City Center

Basi Dogo la UDA


Mtaa wa Uhuru 1975


University of Dar es Salaam -Mlimani 1974

Zanzibar Airport 1960's


Monday, November 14, 2011

FFU Watumia Mabomu Iringa, Waandishi wa Habari Wajeruhiwa Vibaya!


Wananchi wakiishambulia nyumba inayotuhumiwa kuwa na misukule kwa mawe


kamera ya mwandishi wa ITV ikiwa imevunjwa




Mwandishi wa ITV Iringa Laulian Mkumbata akionyesha kamera iliyovunjwa



Wananchi wakiwa wameizunguka nyumba inayodaiwa kuwa na misukule ndani ,huku ndani ya nyumba hiyo kukiwa na wanahabari pia

Askari wa kikosi cha askari wa kutuliza Ghasia (FFU) Iringa watumia mabomu ya machozi na risasi za moto kuwatawanya wananchi waliovamia nyumba ya mtumishi wa Mungu kwa madai kuwa kuna watu 15 wanaodaiwa kufa na kuonekana katika nyumba hiyo ( misukule).


Wananchi hao wenye hasira kali zaidi ya 200 walitumia mawe kuwashambulia FFU huku wao FFU wakitumia mabomu ya machozi kupambana Huku wanahabari wa vyombo mbali mbali na askari polisi na mchungaji mmoja wakinusurika kuuwawa wakishambuliwa kwa mawe na wengine kuvunjiwa kamera zao na wananchi hao ambao walionyesha kuwachukia askari polisi pamoja na wanahabari ambao waliteuliwa na wananchi wenyewe kuwawakilisha katika kukagua nyumba hiyo bila mafanikio .


Tukio hilo lilitokea eneo la Frelimo katika Manispaa ya Iringa na kudumu zaidi ya masaa manne baada ya kuanza majira ya saa 8 mchana na kuendelea hadi saa 12.50 jioni .


Wakielezea juu ya tukio hilo wananchi hao walisema kuwa walipata taarifa kutoka kwa mmoja kati ya wananchi wa eneo hilo kuwa katika nyumba hiyo ya mfanyabiashara wa maji kumeonekana misukule 15 ambayo ilionekana ndani ya uzio wa nyumba hiyo.


Kutokana na uvumi huo wananchi kutoka pande mbali mbali za mji wa Iringa walifika katika nyumba hiyo na kuizingira kwa lengo la kutaka kuichoma moto kabla ya askari polisi kufika na kuwaomba wananchi kutofanya hivyo na badala yake kuteuwa wawakilishi ili kuingia ndani ya nyumba hiyo kujikagua misukule hiyo bila mafanikio .


Hata hivyo baada ya askari hao walioambatana na wanahabari zaidi ya sita kutoka vyombo mbali mbali akiwemo mwandishi wa habari hizi kushindwa kuona misukule hao baadhi ya wanahabari akiwemo mwandishi wa habari hizi waliamua kuruka ukuta baada ya kuona wananchi wakionyesha jazba zaidi .


Huku baadhi ya waandishi wakiongozwa na katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa (IPC) Frank Leonard ambaye ni mwandishi wa gazeti la Habari leo wakilazimika kujifungia ndani ya nyumba hiyo baada ya wananchi kuanza kuishambulia kwa mawe .


Hali hiyo iliwalazimu askari polisi zaidi ya 10 walikuwepo kuanza kutumia mabumu ya machozi kuwatawanya wananchi hao ambao walikuwa wakiimba kuwa mmekela rushwa wote wanahabari,wachungaji na polisi hivyo lazima mchomwe moto .


Katika tukio hilo mabomu ya machozi zaidi ya 30 yalipigwa hewani huku wananchi wakizidi kuongezeka na kupelekea askari hao kuomba msaada zaidi wa askari wa FFU ambao walifika wakiongozwa na mkuu wa FFU mkoa wa Iringa Mnunka na kufanikiwa kuwatawanya wananchi hao .

Zaidi ya watu 10 walikamatwa na jeshi la polisi kwa kujihusisha na vurugu hizo huku watu wengine zaidi ya 20 wakiwemo wanahabari familia ya mfanyabiashara huyo ,mchungaji aliyefahamika kwa jina la Mang’uliso walijeruhiwa kwa mawe .


Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Evarist Mangalla hakuweza kupatikana kuzungumzia madhara yaliyojitokeza katika tukio hilo japo mwandishi wa habari hizi alishuhudia magari matatu likiwemo la polisi yakiwa yameharibiwa vibaya kwa mawe.


ZAIDI SOMA HAPA

Saturday, November 12, 2011

Uchaguzi Congo - Fujo Zaanza

Kiongozi Mpinzani wa Congo,  Etienne Tshisekedi
(AP) - Congo's leading opposition presidential candidate has spent the first half of the monthlong electoral campaign in South Africa, but that did not stop him sending a bombshell from afar: Etienne Tshisekedi proclaimed himself president and ordered his followers to stage jailbreaks to free detained colleagues.

 His declarations, made by telephone from Johannesburg and broadcast live on a Kinshasa TV station on Sunday, have angered people near and far, with some suggesting it is a political death warrant.

On Thursday, when he finally left South Africa and launched his campaign belatedly in the northern provincial capital of Kisangani, he issued more combative statements, inciting his followers to "terrorize them because they have been terrorizing us for a long time."

 "That's it. I'm voting for Kabila," one enraged former supporter fumed at the website Congo Siasa, referring to President Joseph Kabila.

 Information Minister Lambert Mende called Tshisekedi's statements possible treason and criminal. He shut down the offending pro-Tshisekedi Radio Lisanga TV station.
 
The Ministry of Justice said it is investigating whether action should be taken against Tshisekedi, the 79-year-old venerable voice of opposition in Congo who is running for president for the first time.

On Friday, the prosecutor of the International Criminal Court, Luis Moreno-Ocampo, warned that the court in The Hague has jurisdiction in Congo.

  "We are paying particular attention to reports of inciting hatred, exclusion and physical violence by various political figures," he said.

While Tshisekedi remained in South Africa, the campaign at home has become increasingly violent, drawing concerned comments from dozens of civil society groups, the United Nations, the European Union, the African Union and the United States.

  A U.N. report this week blamed most violence on politically manipulated security forces. Mende criticized the report, saying it wanted to make martyrs of the opposition.

Since the electoral campaign opened Oct. 28, Tshisekedi's supporters have had clashes, some deadly, with police and Kabila supporters in several towns. Last week in Kinshasa, the capital, gunmen fired on Tshisekedi campaigners putting up posters, wounding two. In the southern mining city of Lubumbashi, Tshisekedi supporters had street battles with a rival opposition party. Sixteen people were wounded. Young people in the eastern city of Goma took to the streets and gunfire erupted after popular folk musician Fabrice Mumpfiritsa was kidnapped, reportedly by government intelligence agents. Mumpfiritsa, who had refused to sing songs supporting Kabila, was found three days later, legs and eyes bound and so badly beaten he had to be hospitalized.

  U.S. Ambassador James Entwistle wrote an article in which he exhorted all candidates "to put the good of the nation before personal, political ambitions" and to renounce the use of violence and incendiary statements.
 
The Nov. 28 elections for a president and for legislators are critical for the future of the mineral-rich but impoverished nation of nearly 72 million as it struggles to recover from back-to-back civil wars that killed an estimated 5 million. It drew in the armies of half a dozen countries before the conflict ended in 2003, though numerous rebel and militia groups still terrorize eastern Congo.
  
How the elections unfold will be a likely indicator of whether Congo is consolidating its fledgling democracy or returning to a state of widespread instability, according to the International Crisis Group.
 
Back in South Africa, Tshisekedi was meeting with members of the governing African National Congress as well as South African mining and agricultural companies. Spokesman Leonard Mulunda said Tshisekedi was campaigning for support.
 
Other aides indicated that needed to be in the form of money, partly to fund chartered jets for campaigning.

The aides, who spoke on condition of anonymity because the issue is sensitive, indicated Tshisekedi had come to charter a jet for campaigning. They charged parties in Kabila's ruling coalition had commandeered all available planes in Congo - charges that have been denied.
 
Congo has few tarred roads and planes are the only viable means of campaigning in a country that straddles an area the size of Western Europe.
 
Civil aviation authorities also denied a claim that they had refused landing rights to Tshisekedi, when he failed to arrive in Kisangani for a rally Wednesday.
   Congo analyst Jason Stearns, author of the book "Dancing in the Glory of Monsters," has predicted a close race, though Kabila appears assured of victory after Parliament revised the constitution to allow only one round of voting, instead of two. The opposition acknowledges they need to field a single candidate to have any chance at beating Kabila, but personal ambitions have got in the way of any agreement. Tshisekedi is backed by 18 parties and is considered the leading opponent among 11 presidential candidates.
 
This is probably Tshisekedi's only shot at the presidency, given his advanced age. He formed Congo's first opposition party in 1982 to combat the longtime dictatorship Mobutu Sese Seko. Back in the 1990s he first declared himself president, saying Mobutu needed to be "rendered harmless."
 
He again made the assertion during this year's campaign.

He claimed Kabila had lost all support and argued that "in a democracy, it is the majority who leads and I'm the head of the majority. So, I'm the president of (Congo), I am the actual head of state."

He went on to urge his supporters to forcefully free party members jailed in Kinshasa, Mbuji-Mayi and Lubumbashi, and to attack police or soldiers who tried to stop them.
 
If militants were not freed by Tuesday, he said his supporters should "mobilize everywhere and set free the supporters and other opponents and break all the prisons.

"And if, unfortunately, police officers and other soldiers come to bother them, then they should be taught a lesson. And if they flee to the camps, they should be hunted all the way out there and followed to their camp where they will receive a good punishment even in front of their wives and children!"
 
Such incitement has alarmed many who fear Congo's election could degenerate into a spiral of violence similar to the presidential dispute that ravaged Ivory Coast for months, killing thousands and displacing a million people before incumbent Laurent Gbagbo was bombed out of his underground bunker and forced to accept an electoral defeat.
   One blogger at Congo Siasa lamented that Tshisekedi "has signed his political death warrant" and suggested his anger reflected hopelessness at fighting "a cause lost in advance."

Barua za Matepeli - Cons

Wadau, msiwajibu hao matepeli. Hakuna hela, nia yao ni kuwaibia. Delete mara ukipata email ya kitapeli.  Kwa siku napata email za kitapeli zaidi ya 20.

**********************************
My dear,
Here is Mrs. Owusu Mabel Mabna, From Osei Enterprises Ghana Limited. #67 New Achimota Estate, Accra Ghana. Please listen very well, I want to ask ur' Honest Partnership, I want you to stand and act as my Late Husband's Foreign Partner over a claim of some Huge Personal Property which some Rich people want to take away from me and share within themselves,But God will never allow this happen to a widow.
The Inter-Com Security Limited, knows little about who is my Late Husband Foreign Partner before his Death, but they do not know any detail about the Foreigner or where he/she comes from. You are going to let the Company know that You re' Late Mr. John Nana Osei Foreign Partner, You will contact the company with the information I will give you henceforth, Just let the company knows that you re' his foreign Partner before his sudden death.
Tell the Company that the Cash money $1,900,000(One million, nine hundred thousand usd) which Late John deposited with them for Sake Keeping was arranged between both and you need the money to be release and Transfer to you. NB: This Money has NO criminal origin, It was brought to Ghana to purchase Raw Gold from Ashanti Miners, before my Husband got ill which follow his sudden Death. I reported his passed away to this company , and demand for the Release of the belongins, But the Company Manager told me that my Late Husband Partner will be officially aware before they will release the money after we clear the Accumulated Security Charges. So you re' here to Partner with me and stand as my Late Husband Partner so to enable the Company Release this Cash and Transfer this Money to you country for further investment.

In this case, The Company may ask you for the detail information. NB. I have all my late husband's Important document's in my possession, including the original copy of the SKR and other documents covering this deposit of this money with the Security company.
So I will like you to promise me first that we can handle this claim with Trust and Honesty. You will be contacting the Company from ur end and give them the Order to Release and Transfer the Money to you. So whatever the company asked you, just relates with me, I will forward you all the Legal Documents the company may ask or requires for their verification and release approval. So let me know if you are ready, and I will like both of us to sign a Memorandium of Understaidng to keep this claim very confidential and also agree on sharing Ratio of 70% to me and the Family and 30% to you.
So, my dear, time is not on ourside,Let me know your readiness to handle this claims, which may take us between 5-10working days as soon as you contact the Security Company, In other hands, Send me detail Address and telephone number including your Valid ID, or Passport copy. (Anhitaji opassport yako kwa ajili ya nini?)


This will help us for easy commynication and also help me to know you better, I will also do same as soon as I receive your Mail.
I am looking forward to hear from you.
Thanks.
Best regards,
Mrs. Mabel Owusu.
+233 27 5158299.
You can call me anytime.
**************************************
Dear Partner.

I'm happy to inform you about my success in getting those funds transferred under the cooperation of a new partner from Paraguay though i tried my best to involve you in the business but God decided the whole situations. Presently I'm in Paraguay now for investment projects with my own share of the total sum. meanwhile,i didn't forget your little past efforts and attempts to assist me in transferring those funds despite that it failed us some how.

kindly contact my secretary Mrs Aisha Ruben in Burkina through her email at,
mrsaisha_ruben@yahoo.com Ask her to send you the total amount of $800.000.00 via Bank draft cheque, which i kept for your compensation for all the past efforts and attempts to assist me in this matter. I appreciated your efforts at that time very much. so feel free and get in touched with my secretary Mrs Aisha Ruben and instruct her where to send the amount to you.

in the moment, I’m very busy here because of the investment projects which I and the new partner are having at hand, finally, remember that I had forwarded instruction to the secretary on your behalf to receive that money, so feel free to get in touch with Mrs Aisha Ruben. she will send the amount to you without any delay.

You are advice to forward your postal receipient address to her,  such as your postal country code also your current cell number to enable the delivery company locate your desination. once they are arive with your parcel.

Thanks

Regards,
*****************************************************

Dear friend,

I am the manager of bill and exchange at the foreign remittance department Bank of African (BOA). I got your address in Burkina faso chamber of commerce through yahoo details.In my department we discovered an abandoned sum of $ 30 ,000,000 US dollars(Thirty MillonUS dollars) .In an account that belongs to one of our foreign customer who died along with his entire family in a plane crash in the year 2003 in kenya that almost took the whole life of the passengers onboard.Since we got information about his death, we have been expecting his next of kin to come over and claim his money because we cannot release it unless somebody applies for it as next of kin or relation to the deceased as indicated in our banking guidelines but unfortunately we learnt that all his supposed next of kin or relation died alongsidewith him at the plane crash leaving nobody behind for the claim. It is therefore upon this discovery in my department i decided to make this businness proposal to you and release the money to you as the next of kin or relation to the deceased for safety and subsequent disbursement since nobody is coming for it and i don;t want this money to go into the Bank treasury as unclaimed Bill.The request of foreigner as next of kin in this business is occasioned by the fact that the customer was a foreigner and a Burkinabe cannot stand as next of kin to a foreigner. i agree that 45% of this money will be for you as foreignpartner, in respect to the provision of a foreign account, 5% will beset aside for expenses incured during the business and 50% would be for;me to the percentages indicated.Therefore to enable the immediate transfer of this fund to you as arranged, you must apply first to the bank as relations or next of kin of the deceased indicating your bank name, your bank account number, your private telephone and fax number for easy and effective communication and location where in the moneywill be remitted .Upon receipt of your reply, I will send to you by fax or email the text of the application. I will not fail to bring to your notice that this transaction is hitch free and that you should not entertain any atom of fear as all required arrangements have been made for the transfer.You should contact me immediately as soon as you receive this letter. Trusting to hear from you immediately.Yoursfaithfully,

Mr Mohammed Abdel.

********************************************************
  Hi dear
How are you doing today? hope fine?. My name is blessing.I just came across your profile today  and after going through it l found you interesting hope you don't mind to contact me direct to my box (blessing4all30@yahoo.com)
If you feel like knowing more about me and for me to send you my picture, you can send me mail, Hope to hear from you soon and remember that distance or colour doesn't matter but real love matters,have a nice day
Yours blessing.














**********************************************

   Bonjour Mr/MmeSi aujourd'hui mon message de correspondance vous est adressé c'est
en fouillant sur des sites Internet que j'ai obtenu votre E-mail et c'est parce que j'ai voulu avoir plus de relation pour les échanges d'idée,de propos, pour discuter, dialoguer et que je sais encore surtout si vous êtes de l’Afrique, un continent que j’aime beaucoup. On m'appelle MEUNIER ÉLISE je suis Anglaise de nationalité et âgée de 30ans sans enfant. Je suis docteur en médecin et membre d'une Organisation Non Gouvernementale. Je serai heureuse de savoir que vous acceptez ma correspondance sérieuse et sincère.Merci de me répondre
Je vous demande de bien vouloir me faire savoir d'où vous êtes et impatiente de vite recevoir votre réponse dans ma boite électronique: meunierelise@yahoo.co.uk
Merci de me recevoir chez vous


******************************
  THE NATIONAL LOTTERY BOARD
P O Box 1010,Liverpool,
L70UNTED KINGDOM INL,

REFERENCE NUMBER: Ref: UK/9420X2/68
BATCH: 074/05/ZY369

Be glad to read this email, as we are pleased to inform you
that your email address has made you a winner of £1,000 000.00GBP
(ONE MILLION GREAT BRITISH POUNDS STERLING) as a result of the on
going UK National Lottery email award promo held online yesterday
in United Kingdom . To file for your claim and more details on how
you won, please contact

Mr. DAVID SPENCER, CLEARANCE MANAGER
Email: uknl-claimsboard@gncn.net

Provide him with the information below:

1. Full Name:
2. Full Address:
3. Marital Status:
4. Occupation:
5. Age:
6. Sex:
7. Nationality:
8. Country of Residence:
9. Mobile Number:
10. Have you won any lottery on email alert before?

Yours Truly,
Sir Mark Dulle.
Coordinator(Online Promo Programmed).