Thursday, June 21, 2007

Mimi na Marehemu Ernest Millinga (1993)



Hapa niko na Mzee Ernest Millinga ambaye alikuwa mpiga picha mkuu wa gazeti ya serikali ya Kiingereza, Daily News.

Hapa tulikuwa kwenye 'assignment'. Tulikuwa kwenye meli fulani pale Ferry Dar. Nadhani ilikuwa kuhusu mambo ya kujenga daraja pale Ferry.

Picha ilipigwa 1993 na mpiga picha maarufu, Muhidini Issa Michuzi.

4 comments:

  1. look at you woman, so innocent,bet then you could hardly hurt a fly

    ReplyDelete
  2. Chemi, You really got "milk"

    ReplyDelete
  3. Yeah, on my Daddy's side most of the women are blessed with "milk".

    ReplyDelete
  4. michuzijr,

    Asante sana kwa maoni yako. Nilijitahidi. Story yangu kubwa ilikuwa ile ya kumwumbua Mzee Maumba.

    ReplyDelete