Thursday, August 02, 2007

Michuzi amerudi!

Nawajulisha kuwa site ya Kaka Michuzi iko mikononi mwake tena.

http://issamichuzi.blogspot.com/

MAMBO KAMA KAWAIDA!

3 comments:

  1. Bora karudi. Sasa achague Password ngumu enye namba na caps! Huenda alikuwa anatumia password rahisi kama jina lake au mji anayokaa.

    ReplyDelete
  2. Inawezekana ku-manage comments za wasomaji bila kupitia ktk e-mail.
    Namshauri a-manage comments kupitia dash-board (kwenye blog moja kwa moja!)
    Mosonga

    ReplyDelete
  3. Mosonga,

    Asante kwa maoni yako. Nadhani alishindwa hata kuingia kwenye dashboard. Ile e-mail ya gmail na dashboard ni linked.

    ReplyDelete