Wednesday, October 31, 2007

Mjue Msanii wa Vichekesho Bongo Kingwendu

Tanzanian Comedian Kingwendu Kingwendulile




Kabla ya Ze Comedy kulikuwa na Kingwendu aka. Kingwendu Kingwendulile (pichani). Yeye ni mchekshaji wa siku nyingi huko Tanzania. Anavyoongea inachekesha pia. Fani la uchekeshaji kinshamiri huko Bongo siku hizi. Watu wanauliza mbona hawamwoni Kingwendu zaidi?

Nimekuta clipu kadha kwenye youtube. Yeye Kingwendu ndiye star!

YOU TUBE CLIP 1

YOU TUBE CLIP 2

YOU TUBE CLIP 3

Kazi nzuri! Na kucheka nimecheka hasa!


5 comments:

  1. Macho mekundu! Vumi umezidi Bongo!

    ReplyDelete
  2. Sauti yake inachekesha pia. Anaongea kama pimbi.

    ReplyDelete
  3. huyu siyp mchekeshaji, huyu ni mgonjwa wa akili tuu aliyeamua kujifanya mchekeshaji katika jamii yenye ukata wa wachekeshaji.
    Kuvaa gunia ndo kichekesho gani.

    ReplyDelete
  4. This guys rocks.. Kingwendu is the best in East and central Africa..helohelo..

    ReplyDelete
  5. any way i just suppose... comedian wetu,ACTORS MBALMBAL KWA UJUMLA,na directors watafute shule kidogo.. lets them wawe wanafanya vitu tuone wameumiza vichwa sio kirahis tu.. tucheke na tununue... TUKITAKA TWAWEZA.. TUKIFANYA TUTAFIKA

    ReplyDelete