Tuesday, January 15, 2008

Kwa waliochukia somo la Hesabu!


4 comments:

  1. Tuliochukua somo la hesabu nafiiri darasa la 6.
    Fomula=Skwearuti ya Kimoxupana.
    =(4x4)+(3x3)
    =16+9
    =25
    Kwahiyo X=Skwearuti ya 25
    X=5.Jawabu

    ReplyDelete
  2. hapa dada chemi inabidi utumie pythogoras theory sina uhakika na spelling za pythogoras unajua tena school long time ago lakini check this out
    x square=y square plus z square
    x=?
    y=4
    z=3
    x square=4 square plus 3 square
    x square=16 plus 9
    x square=25
    x=5
    kwa hiyo dada chemi x ni 5.

    ReplyDelete
  3. Da chemi usiwasikilize hao wagonjwa hapo juu wanataka kukuingiza mkenge tuu.
    Hizi esabu nazijua sana zinaitwa magazijuto.

    3 ongeza 4 sawa na 7.
    x=7.

    ReplyDelete
  4. Nyinyi nyote hapo juu mmekosea jibu sahihi ni kama alivoandika huyu (here it is), suala limesema find x na wala sio value of x, kwa hio jamaa kapatia jawabu!!

    ReplyDelete