Wednesday, February 06, 2008

Fesheni Mpya Bongo!



Hii Fesheni ya suruali nimeona kwa Maggid Mjengwa. Mnaionaje? Karibu ifanane na sketi. Sijui wametumia mita ngapi kuishona. Halafu tai karibu inafika kwenye magoti!

Issac Mizrahi atasemaje hapo, tutaiona kwenye runway Paris?




7 comments:

  1. DAH! Kweli hiyo ni Maxi Sketi!

    ReplyDelete
  2. Chemi,uko wapi hujapata bado taarifa za mafisadi yalivoumbulia huko home leo?ama nawe unahusika nini?manake sijakusikia kabisa!

    ReplyDelete
  3. Da Chemi,siku zile tulipouliza kuhusu ukimya wako katika ishu ya Ballali,ulijitetea kwamba "habari hiyo ilikuwa imeshaandikwa sana"...Mbona leo wakati takriban kila Mtanzania mwenye uwezo wa kuweka herufi mtandaoni,popote aliko,amegusia yaliyojiri Bungeni Dodoma,wewe umepuuza?

    ReplyDelete
  4. "Hii ni blog ya wamarekani na mambo ya hollywood na sinema"

    ...is that what you (Chemi) have learnt in school of journalism as a "responsible reporting/journalism"?

    I think she is scared to create conflict of interest!

    What a shame!

    Happy to talk about Obama and Clinton every day but not this!!!

    Don't forget your aunts and uncles in Mahenge and Matombo need your support on this solve their problems there!

    ReplyDelete
  5. Da Chemi,watutia wasiwasi ati,inakua vipi weye hukae kimya,yakhe ama ushakua nshirika wao et!ama uko nkaribu na famili zao?

    ReplyDelete
  6. Inaelekea kuna watu ambao wanadhani nashinda kwenye computer 24/7.

    ReplyDelete
  7. Hata hao wanaliotuletea uhondo nao hawashindi kwenye computer 24/7,NI DHAMIRA TU DADA.

    ReplyDelete