Thursday, February 21, 2008

Trailer Mpya - Bongoland II




Premiere ya sinema, Bongoland II, itakuwa Minneapolis, Minnesota.

April 5th, 2008 2:00PM & 5:00PM at the Oak Street Sinema, 308 Oak Street.

2 comments:

  1. mimi sielewi maana ya hivi vi trailer vyako unavyotuwekea kila mara

    ReplyDelete
  2. Wewe anonymous wa 10:58am ni mshamba sana. Huelewi trailer ni nini! Umetoka pori gani wewe?

    ReplyDelete