Wednesday, March 26, 2008

Michoro ya 3D








Hebu chekini hii michoro ya kwenye njia za wapita miguu (sidewalks). Zimechorwa kwa mtindo wa 3D (Three Dimension) yaani zinadanganya macho kabisa.

Zimechorwa na msanii maarufu wa Uingereza, Julian Beever. Usanii wake unaweza kuona kwenye mita ya nchi za Uiingereza, Ujerumani, Ufaransa, Marekani, Ubelgiji na Australia.

4 comments:

  1. DUH! Huyo jamaa ni msanii kweli. Yaani hiyo ya Batman nilidhani yuko kwenye ledge kweli!

    ReplyDelete
  2. Dada Chemi,
    Shukurani kwa picha murua. Keep it up.

    ReplyDelete
  3. Hiyo picha ya mwisho ndo kiboko!!

    ReplyDelete
  4. Dada Chemi, huo ni ubunifu wa hali ya juu!

    ReplyDelete