Friday, March 28, 2008

Mtindo wa Kusuka Mpya!!

Picha kutoka Jiachie Blog

Kweli waBongo ni wabunifu. Sasa wanasuka na nyuzi za kufuma vitambaa (yarn). Si mtindo mbaya! Halafu kamechisha na hereni, na eye shadow.

6 comments:

  1. uchizi,yeyote mwenye akili timamu awezi kufanya hivyo au amesoma je wewe CHEMI utaweza kufanya hivyo au uende kwa mzee Chemponda namna hii siatajua umeanzwa kuchanganyiwa

    ReplyDelete
  2. mh da chemi ,huu si mtindo mpya wa kusukia nyuzi za kufumia ,mie nimesuka 2006,unaweza ukasuka kama huyo dada,kama rasta za mabutu ,twist na hata dredi wanavyosema mtaani.Labda kuchanganya marangi mengi sana ndo mpya.maana hata rangi mbili za uzi huo nshasukia vilevile.Asante

    ReplyDelete
  3. too much colour haipendezi

    ReplyDelete
  4. NYUZI sio nyusi, nyusi ni kitu kingine kabisa mpenzi.

    ReplyDelete
  5. Asante kwa sahisho mdau wa 1:30PM,ndo tatizo ya kutokufanya proof reading.

    ReplyDelete