Saturday, March 22, 2008

Pasaka Njema! Happy Easter!


Wadau, ninawatakia Pasaka Njema!

Happy Easter!

7 comments:

  1. Chemi, I wish you and your family a Happy Easter. Thanks for all your posts.

    ReplyDelete
  2. Same to you......

    ReplyDelete
  3. We dada Chemi mdini sana! Mbona MAULID DAY imepita hukututakia maulid njema? Au blog yako niya wakristo tu, sie waislam tusipite! huku weka tangazo hapo juu kwamba hii ni blog ya wakristo tu!

    SIO MAMBO MTU WANGU....!

    ReplyDelete
  4. Pasaka njema na wewe Dada Chemi!

    ReplyDelete
  5. Asanteni wadau wote kwa salamu. Kwa anonymous wa 11:02am, naomba unisamehe kwa kupitwa na siku ya Maulidi. Mwakani sikosi.

    ReplyDelete