Monday, May 05, 2008

Mashindano ya Mwanaume Mzuri Afrika

Nimepokea hizi picha kwa e-mail:

Wanauliza nani mwanume mzuri kuliko wote barani Afrika. Wanaowania taji ni hao TISA chini:

Namba 9
Namba 8
Namba 7

Namba 6

Namba 5

Namba 4

Namba 3



Namba 2

MSHINDI NI HUYO WA CHINI!

16 comments:

  1. Nimempenda Namba 5.

    ReplyDelete
  2. Kweli wakwanza mshindi, lol!

    ReplyDelete
  3. No 5, 6 na 7 ni watu wa kawaida ila tu sura zao. Picha zilizobaki wana matatizo ya akili, au sio wadau?

    ReplyDelete
  4. what about on the female side

    ReplyDelete
  5. Namba 5 siyo mbaya. Huyo ni mzuri kabisa.

    ReplyDelete
  6. Huyu mshindi ulimi wake una mabega?

    ReplyDelete
  7. huyo mshindi ulimi wake uko kama nanihii ya mbwa dume mwenye midadi.

    ReplyDelete
  8. mizengo pinda angeshiriki angeshinda kuanzia namba moja hadi tatu yeye peke yake!
    warudie shindano na yeye ashiriki muone, kama hamuamini!

    ReplyDelete
  9. Kunguru wa Unguja, acha maneno ya hivyo, yanamshushia hadhi mwenye blog ingawa tunajua pasipo shakashaka kwamba huyu dada anajiheshimu sana. Sasa hebu fikiria jamii inayosoma huo ujumbe wako! Lakini samahani kama nimekuudhi

    ReplyDelete
  10. Siku hii Mh. Pinda amenawiri. Siyo mbaya kama alivyokuwa. Cheo kizuri.

    ReplyDelete
  11. wabongo kweli mimi nachekaga tu najivunia ubongo wangu

    ReplyDelete
  12. hao mbilikimo tu

    ReplyDelete
  13. wazee wa kupombeka tu hao,tena sio bia ni mataputapu.lool

    ReplyDelete
  14. Hao wana ugonjwa unaosababishwa na kulamba nanihii, (kwenda chumvini)

    ReplyDelete
  15. Naomba Dada Chemi um-ban kunguru wa unguja kutoa maoni yake kijijini humu. Yeye ni mchafuzi wa hali ya hewa.

    ReplyDelete
  16. Haah haah!! Chemi na wewe siku hizi MKALI NIMEPENDA HIYO !!

    ReplyDelete