Saturday, May 03, 2008

Sanaa ya Kupaka Rangi Mwili!


Wadau, hao akina dada wako uchi kabisa. Ila miili yao imepakwa rangi. Sanaa huo unaitwa, Body Painting, (kupaka rangi mwili). Ilikuwa sehemu ya ile show ya kupata Mrembo mnene, FAT Chance. Mwaka jana walifanyia Ufaransa.
Wamependeza au siyo!

8 comments:

  1. Ahhh unanichekeshaga wewe dada yaani ikija mambo ya unene unapenda kujipa moyo sasa wamependeza nini hao matinginya wenzio jamani.fanya diet

    ReplyDelete
  2. Kitu ambacho nimependa hapa ni kwamba wako uchi. Nguo zao ni rangi. Wanapendeza lakini ni kweli wameshiba. Na Da' Chemi tunajua wewe ni mshabiki mkuu wa Mo'nique.

    ReplyDelete
  3. Kapendeza huyo mwenye blue!!!

    ReplyDelete
  4. Da Chemi tukuone na wewe basi umepakwa rangi mwili mzima.

    ReplyDelete
  5. ehee mimi sitaki kucheka afanyeje ehee watu tutaota bure

    ReplyDelete
  6. nawewe upo wapi hapo

    ReplyDelete
  7. Mdau wa 11:39PM, simo. Ila mwaka huu kama watafanya tena nitajaribu bahati yangu.

    ReplyDelete
  8. chemi ninavyokupendea we mzungu bwana ndomana upo marekani..angekua mwingine asingeweka hizo comments,tunawachefuaga hao wa blog nyingine hawaweki kabsa au anajibishana

    ReplyDelete