Monday, May 26, 2008

Sherehe za Kuadhimisha Miaka 10 ya International Gospel Church



Bango Nje ya Kanisa
Wakati wa Chakula cha Mchana

Pastor Jared Mlongecha na Mgeni kutoka Canada
Les Mas wakiimba
Pastor Jared na Mke wake wkikabidhi Vyeti


Baadhi ya waimbaji wa Kikundi cha Yuaja wa IGC

Hema tuliyofanyia Sherehe nje ya Kanisa




Pastor Jared na Mke wake wakifurahia zawadi kutoka kwa Waumini wa Kanisa
Keki ya Kusherekea Miaka 10 ya Kanisa
Pastor Pacific Zagabe akiongoza Maombi
Pastor Jared na Mke wake wakiwa Meza Kuu (High Table)




6 comments:

  1. USHAURI WA BURE!

    Naomba uibadilishe jina hii blog yako, uite "GOSPEL TIME" ni ushauri tu maana naoana unafikri wanaotembelea blog yako ni wakristo tu!
    Ushapotezea dira kama chama flani kule Tanzania!

    ReplyDelete
  2. bablii wewe acha zako bwana. Kuna ubaya gani kuandika habari za sherehe hapa.

    Mimi kama mbongo ninaona raha kuona habari za makanisa za kitanzania Marekani. BWANA ASIFIWE SANA! Muendelee kueneza neno la Bwana.

    ReplyDelete
  3. Kwa jina la Bwana na Mwana na Roho Mtakatifu AMEN. Mambo si ndo hayo! Si party za ovyo zenye pombe uzinzi na sigara.

    ReplyDelete
  4. Mimi ni Muislam kabisa, lakini dada Chemi, ongeza neno! Kwani ukisikia kaenda kwenye neno ndio ina madhara gani, kwani mkeo. Lete mipicha dada, tuone Mungu anavyowabadilisha wanadamu wagumu!

    ReplyDelete
  5. bablii mbaguzi huyu,kwani picha zina ubaya gani? yani nimeamini watu hawapendi kusikia mambo ya Mungu ila ya kishetani ndo yanafagiliwa,Mungu tusaidie sana
    Ms Bennett

    ReplyDelete
  6. mh kwa kula sadaka hao..wazungu wanamwaga tu

    ReplyDelete