Tuesday, May 06, 2008

Tunga Caption!


Wadau karibu mtoe comments kuhusu hii picha iliyopigwa mjini New York.

26 comments:

  1. DUH! Anawenda wapi huyo shoga!

    ReplyDelete
  2. Miguu yake mizuri. Naona kazifanyia waxing.

    ReplyDelete
  3. ni kuchoka na maisha au?lahaula

    ReplyDelete
  4. du shoga au lichizi jamani.....

    ReplyDelete
  5. mimi naona amefanana na wewe mjadala kwisha

    ReplyDelete
  6. ONLY IN ZE WEST!!!!

    ReplyDelete
  7. Lol, shoga kwisha kazi! Audhubillah Min Ashwetwain Ul adhim.

    ReplyDelete
  8. Mamaaaaa! Huyu akipita mtaani kwetu tunamlamba mboko, heey. Lione kwanza

    ReplyDelete
  9. Baaah,somo,chani?

    ReplyDelete
  10. DUNIA IMEKWISHAAAAAA.......

    ReplyDelete
  11. its just another way of doing things. It might be unusual to some but its quite okay to others, I guess

    ReplyDelete
  12. Perfect body!! a cool dude. I am sure some people had a smile on their faces when they saw him!! Labda atapata a part kwenye filamu da Chemi!!Especially comedy series!!

    ReplyDelete
  13. Hilo ni jinil-bahari migongo, linalo geuzwa na binaadamu wenziwe punda likapandwa.

    ReplyDelete
  14. Caption....."duh sikuhizi mwaya biashara ngumu washikaji waliokuwa wanakuja kunibokoa siku hizi sijui wamehama kijiwe..anyway ngoja nikatize mtaani labda ntaambulia walau"

    ReplyDelete
  15. Ila kamechisha jamani!

    ReplyDelete
  16. Anon wa 5,38 ukishangaa ya abdallah utaona ya firauni,haha, or vice versa

    ReplyDelete
  17. Caption ' Summer fashion show: Catwalk in the park'

    ReplyDelete
  18. Freedom at last! Freedom at last!

    ReplyDelete
  19. Nakubaliana na aliyesema" Mtoto si riziki" au wanasema "Kuzaa sio kupata". Pole zetu tulio wazazi. Tumuombe mungu.

    ReplyDelete
  20. mimi ningesema Chemi baada ya kukata weight

    ReplyDelete
  21. Anony wa 9:09am, yaani sasa ndo kifua changu na matako yayuke siyo! Sina mandevu mbona au ndo ingekuwa side effects za weight loss. LOL!

    Lakini mjue jamaa alipata 'date' hapo!

    ReplyDelete
  22. Caption "kwa hara zanguuu mwenye wivu ameze wembe fisadii hiloo naliwahi kulijunaaa"

    ReplyDelete
  23. Ukiona mwanaume mzuri lazima ni gay!

    ReplyDelete
  24. mimi ndio yule anon wa 12:58 lakini ulivyomjibu huyo mwenzangu hapo chini nimecheka sanaaa kweli huyo anon na chemi mwenyewe aziwatoshi ahh u made my day sweetie.naomba nirudishe comment yangu kinywani du .

    ReplyDelete