Wednesday, June 25, 2008

Bi Kidude naye ni Supa Modo!




Mwimbaji taarabu mkongwe na Kungwi mkuu wa Tanzania, Bi Kidude ameingia kwenye fani mpya! Umodo! Ameonyesha waTanzania kuwa umodo si kwa vijana tu, hata wazee wamo!
Bi Kidude alionyesha vitu vyake hivi karibuni kwenye fesheni show ya Mustafa Hassanali. Kuona picha zaidi za hiyo show tembelea blogu ya Father Kidevu!
Hongera Bi Kidude! YOU GO GIRL!

6 comments:

  1. Kapendeza kweli kwa mtu mwenye miaka 100! Nataka kumchumbia!

    ReplyDelete
  2. hongera bi kidude.big up always life is beautifull.till unaenda kaburini endeleza utamu wa maisha bi kidude..umependeza..god bless you.....bongo oyeee unatutangazia nchi yetu ..bi kidude

    ReplyDelete
  3. na hao wengine watazamaji nao wanaonyesha show ya miguu yao na mapaja yao..naona bongo siku hizi akina mama wamezidi kwa kuonyesha miili yao hadharani..anyway wapungeni mafisadi ili wazidi kutuibia nanyi mfaidike..maana kuonyesha vimini na nanniii kwenye kadamnasi ...ndio maendeleo basi poa..mungu atawabariki...zidi kujivunjia heshima zenu..alafu baadae mnasema ati watu wengine hawana adabu wanaropoka..kumbe chanzo ni nyinyi wenyewe akina dada zetu...hongera bi kidude umependeza nakupa heshima yako and big up..god bless you bi kidude na kutakia maisha marefu zaidi na ututangazie nchi yetu vyema..
    mtandio wa pwani.

    ReplyDelete
  4. Aisei, kweli bado wamo! Bi Kidude ni mfano wa kuigwa!

    ReplyDelete