Friday, July 11, 2008

Michuzi Globu

Wadau,

Nimewasiliana na Kaka Michuzi kuhusu globu yake kutokupatikana.

Anasema kuna matatizo ya kiufundi na anawahakikishia kuwa itarudi hivi karibuni.


- Chemi


BOFYA HAPA ILI UENDE MICHUZI GLOBU

4 comments:

  1. Asante kwa update Da Chemi!

    ReplyDelete
  2. Kwa kweli tunakushukuru kwa taarifa Da Chemi maana tulianza kuwa na wasiwasi.

    ReplyDelete
  3. Michuzi nae anaendeleza ufisadi kwa kwenda mbele ndio maana website yake haipatikani. Fisadi huyo.

    ReplyDelete
  4. Anony 10:55pm hebu acha wivu zako. Mwanzako anatafuta maendeleo tena ya kusaidia wengi, wewee unamwona fisadi! Khaa!

    ReplyDelete