Wednesday, July 09, 2008

Wanaogombea Miss Vodacom TZ 2008


Hao akina dada wanagombea taji la Miss Vodacom 2008. Wamekwenda kambini leo Bagamoyo.
Kwa habari na picha zaidi mtembelee Kaka Michuzi.

4 comments:

  1. Wengine wana sumni kwenye miguu.

    ReplyDelete
  2. Mimi natabiri huyo mrefu kuliko wote ndiye atashinda.

    ReplyDelete
  3. mh huyo mwenye mabuti nae ah!!lol

    ReplyDelete
  4. hayo mabuti yanaficha sumni kwenye miguu.

    ReplyDelete