Friday, August 01, 2008

Da Subi yuko Bongo


Mwanablogu maarufu Dada Subi (Nukta 77) kutoka Arizona, yuko Bongo. Leo alitembelea maofisi ya Daily News. Pichani yuko na Kaka Michuzi na Father Kidevu (Mroki Mroki).

3 comments:

  1. Dada SUbi kumbe mfupi!

    ReplyDelete
  2. mrefu sana huyo. alikuwa amekaa kwenye kiti wakati michuzi na mrocky wamesimama. niliwapiga picha mimi alipokuja daily news

    ReplyDelete
  3. kumbe haka ndio kadada Subi? kadogo kama kasoseji!

    ReplyDelete