Monday, September 01, 2008

Happy Labor Day!




Leo ni sikukuu ya wafanyakazi Marekani. Wadau mliopo Marekani nawatakia siku njema ya mapumziko.

1 comment:

  1. Habari gani Chemi! Ninaswali, kwa vile ninaona unafanya mengi ili kueneza lugha hii yetu ya Kiswahili
    hebu niambie tafadhali, ninaweza kununua sinema za kiswahili vipi? Uwezo wangu nikupitia kwa interneti kwa vile siko huko nyumbani. Ni mie dada.

    ReplyDelete