Friday, September 05, 2008

Ugonjwa wa kupenda Ngono


Tunacheka. Lakini kweli hao wagonjwa wa kupenda ngono wapo. Mfano wanaume wanaoamini kuwa hawawezi kulala bila kutia dudu lao mahala. Au hawawezi kulala bila kuwa na mwanamke kitandani. Si wanaume tu wagonjwa hata kuna wanawake wenye ugonjwa huo.
Hao wagonjwa kila mara wanawaza ngono, watapata wapi, wataona wapi. Na hao wagonjwa wakifanya ngono si kwa ajili ya mapenzi ila basi tu mradi wafanye. Wakikosa wanaishia kwenye punyeto. Na mtandao umesaidia kueneza huo ugonjwa.

Haya nimewachokoza. Sasa someni uchunguzi iliotoka leo juu ya wagonjwa wa kupenda ngono (sex addiction).

9 comments:

  1. Lakini hata wewe nakutia hatiani maanake hizi topic unazipendelea. Halijaaribika neno lakini

    ReplyDelete
  2. Naamini kabisa kuwa na asiyependa ngono basi naye ni mgonjwa au hajawahi kuonja utamu wake

    ReplyDelete
  3. Naam ngono ina raha yake... na haina kipimo na haitakuwa na kipimo

    ReplyDelete
  4. Da Chemi sasa hiyo picha inatutamanisha sisi wanaume. Kuangalia tu tunawaza ngono. Ngoja nitafute kitu sasa.

    ReplyDelete
  5. esh dada. mbona ndo wikiendi inanoga dada? na baada ya kusoma hii habari nyepesi nyepesi, hebu sasa kilaji kipande, baadaye mbuzi katoliki halafu...... lol

    ReplyDelete
  6. Kazi na dawa.............Da' Chemi wewe huendekezi ngono?

    ReplyDelete
  7. Tumeletwa hapa dunia ili tule ngono, kwani ulikuwa hujui hilo dada? Viumbe vyote hula ngono, hata sisismizi.

    Mungu alipowafukuza Adam na Eva kutoka kule bustani ya Aden, aliwaambia kuwa nendeni mkazaane muijaze dunia. Unadhani tutazaanaje bila kula ngono? Mungu aliyetuumba ndiye aliyetutuma kula ngono.

    ReplyDelete
  8. Ah, kudadadek! Ngono tamu k*******ye ... duh. halafu umpate mngono mwenzio anaijua shughuli? wee acha tu.... Tanga kunaniiii! Da'Chemi, ahsante kwa kutunyegeza mama!

    ReplyDelete
  9. Huyo kwenye picha anatamanisha kweli cheki anavyorembua macho.

    ReplyDelete