Thursday, October 23, 2008

Chotara, ponjoro, shombe ehh?

Hivi tumwiteje huyo mtoto wa punda na punda milia? Akiwa mkubwa sijui atakuaje.

Photo from Michuzi Blog:

6 comments:

  1. Duh, Punda na Pundamilia wamezaa!! Kwasababu ya tofauti ya rangi and all, I had no idea their species were closely enough related to produce an offspring; nilikuwa najua tu kuhusu farasi na punda kuzaa mules. Wapi hii imefanyika? Walitaka wenyewe au ilikuwa artificial insemination?

    ReplyDelete
  2. Huyu ataitwa Albino, aangalie naye wasianze kumuwinda kama wanavyo wanyanya Albino wetu Tanzania.

    ReplyDelete
  3. huyu ndama ni mix bread itabidi aitwe kwa jina la (hongwe-milia)baba ni milia na mama ni kihongwe,so kwa ujumla ni ze hongwe-milia. na yeye mwenyewe akija kuzaa mtoto wake ataitwa,mjukuu wa okapi..ahaaaaaaahaaaa

    ReplyDelete
  4. Donkey-do
    zebra-ze------ kwa hiyo plural ni DOZE...donkeyzebra..halfcast huyo ndama,

    ReplyDelete
  5. Yote yanawezekana kwa anaye amini

    Grandma

    ReplyDelete
  6. Wazungu wanamwita ZONKEY.

    ReplyDelete