Tuesday, October 14, 2008

Mnenguaji Suzi Cyz

Sijawahi kumwona Suzi Cyz, laivu akicheza lakini kwa waliomwona, Je, anaweza kushindana na Aisha Madinda?

****************************************************


Mnenguaji mahiri wa Bendi ya FM Academia Suzi Cyz akionyesha umahiri wake wa kunengua muziki katika moja ya maonyesho ya bendi hiyo jijini Dar. Suzy amekuwa kivutio kikubwa miongoni mwa wanenguaji wa bendi hiyo. Picha na Albart Jackson.

7 comments:

  1. Sasa hiyo ni kovu la uzazi nini?

    ReplyDelete
  2. Da Chemi wote hao hawakufikii wewe kwa kunenguwa!

    ReplyDelete
  3. mzanzibar 100%,

    Asante kwa maoni. Ila ndo hivyo tena, siku hizi umri umesogea siwezi kunengeua mpaka nipake mifupa grisi. LOL!

    ReplyDelete
  4. mzanzibar100%mimi naona wewe ndio kiboko ya wote katika kunengua,hata kuchengua pia..haaaaaa sijui lini tutakuona kwenye tamasha la wanenguaji hapa london..utupe uroda

    ReplyDelete
  5. Mimi nimemuona sana suzi, Dubai na Omani kunengua kwake si kama Aisha Madinda, yeye nikutia watu nyege anafanya kifikra mbaya si kama wachezaji shoo wengine, halafu kamejitia mkorogo harufu tupu kupendeza hajapendeza.

    ReplyDelete
  6. anti chemi anaekushinda kati ya wote hapo!ila tuwache masikhara huyu dogo bana mkali kuliko aisha,tena sana tu!

    ReplyDelete
  7. anti chemi kati ya wote hawa hakuna anaekushinda katika haya mambo.ila tuache masikhara haka kadogo kanameng'enyuka jama,aisha hafiki hapa!!!

    ReplyDelete