Tuesday, December 23, 2008

Heri ya Krismasi!



Wadau,

Ninawatakia sikukuu ya Kirismasi Njema! Pamoja na shamrashamra, mapochopocho na zawadi tukumbuke kuwa ni siku ambayo tunasherekea kuzaliwa kwa bwana Yesu Kristo. Na hapa Boston kama mmesikia kwenye taarifa ya hbari tumepigwa na Snow/Theluji kibao! Watu wanaomba summer ije haraka!

Heri ya Krismasi! Merry Christmas!

6 comments:

  1. Na wewe pia Da Chemi!HERI ya KRISMASI kwako na kwa familia yako!

    ReplyDelete
  2. Asante.
    Na wewe pia tunakutakia sikukuu njema

    ReplyDelete
  3. Heri ya Sikukuu na Mwaka mpya!
    Maombi ya watu wa Boston yananikumbusha ule wimbo wa kipi bora kati ya mvua na jua Dar! 'kati ya winter na summer bora nini? Bora winter. bora nini? Bora summer. eeh? mbona mnanichanganya!"

    ReplyDelete
  4. Poleni kwa hiyo theluji Dada. Huku kipande ya kwetu ilikuwa swafi tu. Picha bila hata jaketi. Yaani ka-sweta ka kuvalia Dar kangetosha kukutoa nje. Lakini yote juu ya yote twaamini mmeimaliza vema
    Baraka kwako na familia yako

    ReplyDelete
  5. kunradhi, najua ni nje ya mada ila kwa saidia wanaomtafuta zeutamu details hizi hapa chini:
    ############################################
    Domain name: ZEUTAMU.COM


    Administrative Contact:
    utamu, the blog.zetu@gmail.com
    506 S. Flower Street
    California, Los Angeles 90071
    US
    +1.8183572058
    Technical Contact:
    utamu, the blog.zetu@gmail.com
    506 S. Flower Street
    California, Los Angeles 90071
    US
    +1.8183572058


    Registration Service Provider:
    STD Group Inc., tucows@siteground.com
    18008289231



    Registrar of Record: TUCOWS, INC.
    Record last updated on 04-Dec-2008.
    Record expires on 14-Oct-2009.
    Record created on 14-Oct-2008.

    Registrar Domain Name Help Center:
    http://domainhelp.tucows.com

    Domain servers in listed order:
    NS1961.UKSERVERHOSTING.NET
    NS1960.UKSERVERHOSTING.NET


    Domain status: clientTransferProhibited
    clientUpdateProhibited
    ###########################################
    PS: The server IP address is 94.76.206.132, and it is located in the UK

    ReplyDelete