Saturday, December 06, 2008

Kweli Kabisa!



Kama umewahi kuingia kwenye elevator na mzungu ni lazima muangalie hii:

http://www.youtube.com/watch?v=p95zWsAmTyw

8 comments:

  1. it is so true wot he was tokin abt but at the end it was so funny!

    ReplyDelete
  2. Mimi ni mwanamke na ninakaa mji fulani mkubwa. Nikiingia kwenye lifti na mzungu ni kweli wanashika pochi na kuwa na wasiwasi. Wakati mwingine wanashuka kabisa!

    ReplyDelete
  3. Ni kweli kabisa, mi nipo bristol, UK. Wakati mwingine kama kuna lift mbili na wote mnasuibiri lift, say ya kwenda juu, basi yeye atajizubaisha mpaka asiingie lift moja na wewe. Du kazi kweli kuishi kwenye nchi za watu. Lakini hawa jamaa hata wakiwa kwetu wanajishaua kiaina

    ReplyDelete
  4. i dont like this one not funny

    ReplyDelete
  5. we mama nawe mbaguzi.

    unashadadia mambo ya kibaguzi

    ReplyDelete
  6. Kama unavyosema Da Chemi! NI KWELI KABISA!

    ReplyDelete
  7. Hivi majuzi niliingia kwenye lifti kwenye jengo fulani hapa US. Kulikuwa na mama wa makamu wa kizungu mle. Mlango ulivyofunguliwa na alivyoniona alionyesha woga kabisa. Mpaka tulivyoshuka 1st floor jasho ilikuwa inamtoka nabega yake kalishikilia kweli kweli. Nikamwambia have a good day.

    ReplyDelete
  8. Video yako ni ya ukweli...it is the fact in these developed countries...however, ask your self a reverse question...can a mzungu walk around Dar without being noticed by local thugs that are contatntly raoming Dar cities ready to attack at the moment's notice? This has happened to wazungu wengi in dar...one can longer walk around the oysterbay/ocean road?

    ReplyDelete