Tuesday, January 06, 2009

Ngoma ya Weusi Marekani 1903

Hii Ngoma inaitwa 'Cake Walk'. Hii sinema fupi ilipigwa mwaka 1903 yaani miaka 106 iliyopita.

2 comments:

  1. Dancing like their masters aint they !
    Silly Video Che

    ReplyDelete
  2. Sikujua kama kuna video za toka enzi hizo. Mali kweli. Huyo wa mbele ana fanana na jamaa fulania anyekaa Magomeni Mapipa.

    ReplyDelete