Saturday, January 24, 2009

Picha Rasmi ya Rais Barack Obama


Wadau, hii ni picha rasmi (official portrait) ya rais mpya wa Marekani, Barack Hussein Obama.

4 comments:

  1. mimi siipendi.
    Maoni:
    1. naona picha imepigwa kwa mbali kidogo na sura iko pembeni sana mwa frame ya picha!!
    2. Kuna nafasi kubwa sana juu ya kichwa cha rais -ni ya nini?
    Ushauri:
    Wangem-zoom (kumvuta kwa karibu) na awe katikati mwa frame, bendera iwe nyuma yake (nyuma ya bega)

    ReplyDelete
  2. Picha iko sawa! kuna vitu viwili vya kuonyesha: Moja, sura yake. Mbili, symbolic image ys Amerika = bendera.

    ReplyDelete
  3. is potrait sio potriat samahani lakini kukosoana ni wajibu

    ReplyDelete
  4. Asante mdau wa 3:37pm. Typos happen. Nimesahisha.

    ReplyDelete