Monday, February 23, 2009

Academy Award Night

(Kutoka kushoto - Julia, Mimi, Janine, Sonya, Jacqui)

Jana nilienda kusherekea tuzo za Oscars, Academy Awards, na actors wenzangu wa Boston. Sherehe iliandaliwa na Casting Director wa Boston, Jodi Purdy Quinlan. Ilifanyika Mini Bar katika Copley Plaza Hotel hapa Boston.(picha ya chini -Kutoka kushoto, John A., Julia, Donna, Janine, mimi, John D.)

5 comments:

  1. Hongera kwa kuendeleza fani. Nina ndoto kuwa siku moja utafika kiwango cha juu kabisa na kujaliwa kupata mikataba mizuri.
    Endelea kujifunza na kujiendeleza ndugu yangu.

    ReplyDelete
  2. I like you Da Chemi your proudly African lady,sio hilo tu napenda ulivyo na confidence,napenda blog yako inaonyesha uko very strong,nasoma blog yako kila siku

    ReplyDelete
  3. Represent Da Chemi!

    ReplyDelete
  4. Umependeza Da Chemi. Vitenge vinakutoa kweli. Asante kwa kuwakilisha Tanzania na Afrika.

    ReplyDelete
  5. Hongera Dada Chemi. Natumaini tutakuona kwenye role kubwa hivi karibuni. Endelea na moyo huo achana na wenye wivu.

    ReplyDelete