Thursday, April 30, 2009

Chanzo cha Swine Flu - Utani


13 comments:

  1. i saw this picture on bossip.com....
    ...plain scary

    ReplyDelete
  2. Yaani mzazi anakaa anaruhusiwa mtoto wake alambe pua ya nguruwe! Khaa!

    ReplyDelete
  3. Halafu ukiwauliza wakueleze jinsi kirusi cha UKIMWI kilivyofika kwa wanaume ma-gay kule Los Angeles (UKIMWI ulikoanzia) kama kweli kirusi hicho asili yake ni katika nyani wanaopatikana katika mistu ya Kongo, hawakupi jibu. Wazungu wakati mwingine udadisi wao unawafikisha pabaya.

    ReplyDelete
  4. My God! My God! An angel must be protecting that child!

    ReplyDelete
  5. Huu si uchafu jamani namna hii mimi kumtazama huyu myama katika picha tu nashindwa, hawa wazungu ndio wanaleta magonjwa mabaya duniani halafu wanasingizia watu wengine, kwa kweli ni wachafu rangi jeupe bure tu.

    ReplyDelete
  6. Hii sijawahi kuona "live" ingawa nimeona mara nyingi sana wazungu wanalambana midomo na mbwa zao

    ReplyDelete
  7. DOH! Hata ukimwogesha mtoto keshalmaba mimate ya nguruwe!

    ReplyDelete
  8. Jamani mungu atunusuru.

    ReplyDelete
  9. Lakini wadau mmeona jinsi wazungu na nguruwe wanavyofanana? au mimi racist?

    ReplyDelete
  10. HALAFU AKITOKA HAPO NA WEWE UNAMBUSU MTOTO WAKO! HII SI UTANI INAONYESHA NDIO CHANZO.
    BADO MAFUA YA MBWA, MUNGU NA ATUNUSURU!

    ReplyDelete
  11. Nguruwe mwenyewe anafurahia kweli!

    ReplyDelete
  12. huo ni utani jamani, nguruwe sio mchezo, huo ulimi ungeshakatwa zamani.

    ReplyDelete