Tuesday, April 21, 2009

Kumbe hata Wanyama Wanapeana Busu!

6 comments:

  1. Nadhani ni shauri ya kutizama Tv muda mrefu sasa wanaiga tabia za binadamu, wasijeiga na ufisadi na kubeba bunduki, mbona tutatafutana humu duniani? (natania tu wadau).

    ReplyDelete
  2. Si wamependana!

    ReplyDelete
  3. dada nanii na wewe kukaa sana kwenye box huko hata kiswahili kimekimbilia kwenye box,sio [WANABUSIANA]WANAPEANA BUSU,

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 11:16, asante kwa sahisho.

    ReplyDelete
  5. sahihisho sio sahisho.

    ReplyDelete
  6. Chemi ulikuwa sahihi ukiendekeza mwishowe utaambiwa hata jina lako ni Chemu au chem/o na kadhalika. Huyo anony angeeleweka kama angetoa neno moja siyo mawili. Kwanza kupeana busu si sahihi vile vile kama tukitaka kkuweka kiswahili fasaha.

    ReplyDelete