Wednesday, May 13, 2009

Nyumba za Fahari za Mbwa Marekani



Ama kweli wazungu wanapenda mbwa wao. Hebu cheki hizi nyumba ambazo mbwa wamejengewa.
Mnaweza kuona picha zaidi hapa:

6 comments:

  1. Hata sikubali! Mbwa anajengewa nyumba ina umeme, maji na air conditioning! Ebu ilo jibwa linipishe mimi nikae hapo!

    ReplyDelete
  2. Ama kweli PESA ina jeuri.

    ReplyDelete
  3. We! wazungu wanathamani maisha ya mbwa wao kuliko ya ndugu zao. Wanaweza fanya kila kiwezekanacho kunusuru majibwa zao ila wenzao watawaachia riziki tu.

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli watu wangeishi ndani ya hizo nyumba Bongo. Umeme na maji!

    ReplyDelete
  5. kuna mzungu mmoja na mkewe wamezama maji (mtoni) na kupoteza maisha kwa kutaka kuokoa mbwa wao na wakamwacha mtoto mchanga ukingoni mwa mto, wiki iliyopita UK.

    ReplyDelete