Monday, May 18, 2009

Stomp - Zilipendwa



Wadau, leo nimekumbuka huo wimbo uliotoka 1980, nikiwa Form Four! Ilikuwa ikipigwa wote lazima wainuke wacheze. Ilikuwa anasa Bongo enzi hizo maana mabolingo zilitawala. Tulikuwa tunasema, "Tumechoka kusikia bolingo, tuwekee disko!"

7 comments:

  1. Yaani ni kama jana tu. Asante Da Chemi!

    ReplyDelete
  2. chemi miaka ya 80 hakukuwa na bolingo tz. bolingo zilikuja miaka ya 90. au unakusudia twist? au unakusudia muziki wa dansi tu wa kina mbaraka mwinshehe na marijani rajab?

    ReplyDelete
  3. Hapa sasa unawatafutia watu vilio maana unawakumbusha mengi mema na mabaya lakini yote maisha, aliyetangulia katangulia hii kwa ajili ya watu wanaojua muziki ni nini wakati huo kila kitu unatumia akili siyo siku hizi mziki mpaka utafute midundo kwenye computer.

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 11:05 lazima ni katoto. Bolingo zilikuwepo tangu 70s!

    ReplyDelete
  5. Those were the days! We can only tell the kids now.

    ReplyDelete
  6. dada chemi lakini umekula chumvi mwaka 80 wengine bado tulikuwa na diapers. shikamoo

    ReplyDelete
  7. mdau wa 12:08 mbona tunadanganyana miaka hiyo Afrika kunamiaka hiyo Afrika ulikuwa na diapers?

    ReplyDelete